YUDITHA
Pole sana hii inauma sana. Mimi kama muajiriwa na mlipa kodi inaniuma sana kwa ushenzi kama huu wa serikali ya kihuni. Haiwezekani kwa kodi zote tunazolipa ukate mshahara wa mwalimu eti kwa kuwa Rais ametoa amri ya kujenga maabara kwa kila sekondari. ni wizi na uhuni wa wazi wazi. hilo ni jukumu la serikali, nimekwenda shmbani weekend naambiwa na mwenyekiti wa kijiji eti nichangie maabara.
Tena wenye mashamba eti watapewa barua na kuamriwa kulipa kiasi atakachopanga mkurugenzi. nimemwambia akinifuata tena nitamchapa makofi. Nimeshilipia maabara nyingi sana kwa kodi ninayokatwa sichangii tena mabaradhuli hawa wale hela ya jasho langu.
Walimu huu ni mtihani kwenu, ninyi ndio mmekuwa wasaliti wa kubwa, sasa acha tuwaone mkitumika kuichangia CCM.
Serikali imekata mishahara ya walimu ktk viwango tofauti tofauti bila kutoa sababu za msingi za makato hayo.
Ikumbukwe kuwa mshahara ni haki ya mtumishi.
Kwa kitendo hicho serikali ya inajidhirisha ni kinara wa wizi. Kuna watu wamekatwa elfi 60,wengine 25 na wengine 14 huu ni wizi wa waziwazi. Wasiporejesha mshahara wangu natangaza wazi naiburuza serikali mahakani.
Ikiwa wamekata ktk ujenzi wa maabara, waniambie kodi ninayolipa kila mwezi zaidi ya 68 elfu inaenda wapi?
Je, wabunge waliocheza kitolondo bungeni wamekatwa shilingi ngapi?
Waalimu hamjawahi kujitambua na kutumia wingi wenu kuleta mabadiliko katika nchi hii. Mmekuwa mkitumika kuiba kura makabaki mnachekacheka tu. Mlidhani wakishaiba kura si lazima waibe na hela yenu?YUDITHA
Walimu huu ni mtihani kwenu, ninyi ndio mmekuwa wasaliti wa kubwa, sasa acha tuwaone mkitumika kuichangia CCM.
Poleni sana Mkuu. Walimu wa Tanzania ni watu makini sana. Nyie ukawa hamuwezi kuwatumia kisiasa namna hiyoWaalimu hamjawahi kujitambua na kutumia wingi wenu kuleta mabadiliko katika nchi hii. Mmekuwa mkitumika kuiba kura makabaki mnachekacheka tu. Mlidhani wakishaiba kura si lazima waibe na hela yenu?
Shame on you teachers maana mpaka leo kuna mwalimu anashabikia magamba, sijui ualimu hamkuupata kwa kuusomea? ni kama hamkustahili!
Kutokana na issue inayoendelea MSD,madaktari na manesi wajiandae kukatwa kwa ajili ya dawa.
Wanajeshi nao wakae mkao wa kula maana tunahitaji jeshi la kisasa.
Hivi haya yanafanyika mpaka nchi jirani ya Zanzibar au huko maabara zinatosha?
Tungekuwa na upinzani wa kweli nchi hii then hii ingekuwa karata yao kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa lakini walivyo vilaza watang'ang'ania vitu ambavyo havimuathiri raia wa kawaida moja kwa moja mfano serikali tatu.