YUDITHA
Senior Member
- May 5, 2013
- 154
- 28
Serikali imekata mishahara ya walimu ktk viwango tofauti tofauti bila kutoa sababu za msingi za makato hayo.
Ikumbukwe kuwa mshahara ni haki ya mtumishi.
Kwa kitendo hicho serikali ya inajidhirisha ni kinara wa wizi. Kuna watu wamekatwa elfi 60,wengine 25 na wengine 14 huu ni wizi wa waziwazi. Wasiporejesha mshahara wangu natangaza wazi naiburuza serikali mahakani.
Ikiwa wamekata ktk ujenzi wa maabara, waniambie kodi ninayolipa kila mwezi zaidi ya 68 elfu inaenda wapi?
Je, wabunge waliocheza kitolondo bungeni wamekatwa shilingi ngapi?