fisiemuKwani hiyo 2017 serikali ilikua ya chama gani?
bei elekezi 1700 hahahahaha watalaamu hawa wa chama tawalaKila kitu siasa kuna siku mtasema CCM imefanya upasuaji wa kupunguza ukichaa kichwani maana sio kwa siasa hizi
Source ITV
Serikali ya ccm imekubali kuuzwa kwa korosho kwa bei ya shs 3000 hadi 3016 kwa kilo katika mnada uliofanyika leo huko mtwara.
Kumbuka bei elekezi ilikuwa 1700 na seeikali ikasema inaunga mkono mgomo na bei ifike 5000 ambayo imeota mbawa.
Bei ya korosho ya mwaka jana ilikuwa kati ya 4500 hadi 5000 kwa kilo hadi mbuzi wakanywa soda
Au juice ya mabiboMwaka huu hao mbuzi wanywe tu maji na magadi
Source ITV
Serikali ya ccm imekubali kuuzwa kwa korosho kwa bei ya shs 3000 hadi 3016 kwa kilo katika mnada uliofanyika leo huko mtwara.
Kumbuka bei elekezi ilikuwa 1700 na seeikali ikasema inaunga mkono mgomo na bei ifike 5000 ambayo imeota mbawa.
Bei ya korosho ya mwaka jana ilikuwa kati ya 4500 hadi 5000 kwa kilo hadi mbuzi wakanywa soda
Teh teh teh, tena wana Bahati hii imefanyika ili kushindana Na wapinzani wa kiasa akiwemo MembeMwaka huu hao mbuzi wanywe tu maji na magadi
bei elekezi 1700 hahahahaha watalaamu hawa wa chama tawala
CCM haiwezi kufanya upasuaji wa kuondoa ukichaa kichwani chini ya Mwenyekiti "Kichaa", kuna kitu unakitafuta utakipata muda si mrefu.Kila kitu siasa kuna siku mtasema CCM imefanya upasuaji wa kupunguza ukichaa kichwani maana sio kwa siasa hizi
Leta uhalisia mkuu, kumbe unao uhalisia wewe.Kila mwenye simu sukuhizi ni mwana habari taalifa hiii imejaa ushabiki sana kuliko uhalisia