barwani
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 238
- 160
Wadau habari,
Ni kwa mda mrefu sana nimekuwa nikisikia takwimu feki, huduma au bidhaa fulani imepunguzwa bei (bei elekezi) au huduma fulani inatolewa bure na serikali ilhali hakuna uhalisia kwani wananchi huchangia huduma hizo.
Mf 1:Matibabu kwa wazee,vifaa kwa mama wajawazito,kuongezwa damu n.k serikali inahubiri bure huku raia tukighalamikia hizo huduma.
Mf2: Bei elekezi ya sukari from 1800-2200 ilhali mtaani bei ni Mara mbili na inayohubiliwa na serikali yetu.Hii ni mifano michache ya namna serikali yetu ambavyo imekuwa IKITUDANGANYA.
Swali: Ni lipi haswa lengo la kutudanganya?Serikali inafaidika nini na uongo huo?Na kama serikali inashindwa kusimamia utekelezaji wa maagizo/kauli zake kwanini inatoa maagizo/kauli hizo?Si bora ikae kimya mambo yajiendee tu kuliko kuja kuleta maagizo wasiyoweza kuyasimamia?
Naomba kuwasilisha.