Serikali ya ccm haitakim kukosolewa........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya ccm haitakim kukosolewa........?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Oct 14, 2011.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni wana JF nimesoma taarifa iliyopo humu kuhusu harakati za watu wabaya kupoteza maisha ya wengine kwa sababu za kisiasa, (SINA HAKIKA NA RIPOTI HIYOA) ukiisha muua MWANDOSYA, MWAKYEMBE na hao wengine kwa hali ya sasa SERIKALI YA CCM inategemea kupata unafuu......? itakuwa huru. itaenda tena MBEYA, TABORA na kwingineko kuomba kura tena........? usipokosolewa utajijua....? DR H mwakyembe huko nyuma aliwahi kupaza sauti kuhusu hujuma hizi wengi wakamuona kama anatafuta umaarufu zaidi. serikali ya ccm wakifa hao akina SITTA, SAIDI KUBENEA, H MWAKYEMBE, MWANDOSYA nk. ndio wazalendo wa kweli watakua wameisha ...? wakichipuka wengine nao mtawaua..? msijifiche jitokezeni tuwaone kama wenzenu wa SYRIA...... TUMEWACHOKA.
   
Loading...