Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,744 Reaction score 37,286 Mar 16, 2026 #1 Hivi kuzunguka kwa waziri mkuu nchi nzima kutatua kero ina maanisha idara zote zimeshindwa na yeye kajivika majukumu yote.
Hivi kuzunguka kwa waziri mkuu nchi nzima kutatua kero ina maanisha idara zote zimeshindwa na yeye kajivika majukumu yote.
0 004 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2024 Posts 1,766 Reaction score 2,613 Mar 16, 2026 #2 Fbn said: Hivi kuzunguka kwa waziri mkuu nchi nzima kutatua kero ina maanisha idara zote zimeshindwa na yeye kajivika majukumu yote. Click to expand... MIFIFIEMU inachaguana LAKINI kumbe haijui WAMECHAGULIWA kufanya nini! Ndio maana mwingine kawaambia WAMASAI kuwa WAARABU ni ndugu zao
Fbn said: Hivi kuzunguka kwa waziri mkuu nchi nzima kutatua kero ina maanisha idara zote zimeshindwa na yeye kajivika majukumu yote. Click to expand... MIFIFIEMU inachaguana LAKINI kumbe haijui WAMECHAGULIWA kufanya nini! Ndio maana mwingine kawaambia WAMASAI kuwa WAARABU ni ndugu zao