Serikali ya awamu ya tatu ndo chanzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya awamu ya tatu ndo chanzo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Oct 27, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mimi na amini kabisa matatizo ya kiuchumi tuliyonayo watanzania ya mesababishwa na serikali ya awamu ya tatu iliyo ongozwa na Rais mstaafu B.W Mkapa.
  Kwakushindwa kuweka misingi thabiti yakuendeleza alichokuwa amekianzisha matokeo yake Awamu ya nne yenyewe imeingia madarakani bila kuwa na mipango thabiti yakuendesha nchi! Mahitaji mhuimu yamekuwa mwiba kwamwananchi!
   
Loading...