Goodhope12
Member
- May 15, 2017
- 24
- 16
Mkuu unaomba kibabe sana ebu nyenyekea bwana labda mkulu atakunjua moyo .Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi?
vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.
Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi?
vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.
Jiajiri wewe acha kulialia mbona Mimi na hiyo degree ya education nshatupia kwenye dustbin .Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi?
vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.
Duu unamaneno ƴa ƙukatisha tamaa mkuu acha tu.Mbona ajira zilitoka za walimu wa sayansi but kwa walimu wa sanaa naomba mtuvumilie kwa sasa Hatuwaitaji
Subil mwez huu uonee ..ndo urudi kuvadanga humu...ajira zipoo mkuuFedha za kuwalipa ndizo hizo zipo bize kununua wabunge wa upinzani kwa fujo. Kipaumbele ni sio walimu bali kutia hadaa kwa jamii kuwa "yeye anakubalika" kuliko hata aliyemuumba. Poleni sana walimu katika awamu hii ya viwanda bila kuzingatia mapinduzi ya kilimo.
hahaaaaa lazma wapungue aingie mwingineeeMpaka sasa unasubiria hizi ajira tumbua tumbua....yaan unasubir mwenzako afukuzwe kaz upewe ajira.....dah
Mkuu unaomba kibabe sana ebu nyenyekea bwana labda mkulu atakunjua moyo .
umeonaeeeehJiajiri wewe acha kulialia mbona Mimi na hiyo degree ya education nshatupia kwenye dustbin .
Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi?
vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.
Rudia tenà kusoma thread!Subil mwez huu uonee ..ndo urudi kuvadanga humu...ajira zipoo mkuu