MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,924
- 8,911
- Mwambie Magufuli awape watu HAKI zao, apunguze drama nyingine. Kuna makundi yametengwa kabisa utafikiri WACHAWI nchi hii hususani kundi la VIJANAWanainchi wa Tanzania ilikuwa kama wimbo kila kukicha kuwa Serikali inahangaika na vidagaa na kuwaacha mapapa kwa wale wanaovunja sheria za nchi.
Serikali ya awamu ya tano Sasa inashughulika na hao Mapapa bila kuangalia Jina wala nafasi yake kwa Serikali au jamii.
Hata ule usemi wa Serikali kuwakamata vidagaa na kuwaacha mapapa Umetoa mbawa.
Hakuna yoyote aliye juu ya sheria watu wote wana haki sawa mbele ya sheria.
Nadhani huu ni mwanzo Mzuri ktk kuhakikisha haki inatendeka Katika nchi na kila mwanainchi anapata haki zake bila ubaguzi kutoka ktk mamlaka husika.
- AJIRA
- STAHIKI ZA WATUMISHI
- GHARAMA NAFUU ZA USAJILI WA KAMPUNI/TRADEMARKS + GRACE PERIODS KIKODI
- MIKOPO HALMASHAURI ipatikane
- BODABODA, MACHINGA, WAOSHA MAGARI pia wafanye kazi kwa UHURU au serikali inataka WAWE MAJAMBAZI ?