Serikali ya awamu ya tano mnatuharibia nchi

Mungu Mkubwa na anajua zaidi, siwezi laumu, wala siwezi sifia.

Ila jamani kazi hakuna, mzunguko wa hela ili tuuze bamia pia hakuna. Mimi nawaomba wenye Nchi jamani tafuteni namna tutoke vijana, maana elimu mnayo, na Pesa mnayo.

Tusaidieni vijana, maana tumeshindwa cha kufanya, shamba pagumu, mjini hapafai. Waeshimiwa tusaidieni, Mambo yenu yaende na yetu yafae. Mnisamee kama nimewakwaza.
Mungu tu ndio anapaswa kunyenyekewa hivyo ila unachokiomba ni haki yako kikatiba upatiwe.. Sio issue ya kuwaomba ha,ndugu yangu haki haiyombwi inadaiwa.
 
Nothing to expect kutoka kwa utawala huu wa Jiwe,Bashiboy na mgogo Ndugawise
Ila sisi waafrika Sijui tunashida gani, mtu anaweza kukufanyia ubaya katika utawala wake,akimaliza awamu yake hamna mtu kuchukuliwa hatua kwa lengo la kuleta fundisho kwa wengine.

Ni tofauti na wazungu na waarabu yani, hawakuachi hata ipitite miaka mia.. Utakuja kulipa zuluma na uonevu na ushetani uliofanyia watu wengine.
Na ndio maana Africa mtu anakusudia kuwafanyia wenzake ubaya akiwa madarakani kwsbbu anajua akitoka watu husahau na kuchukulia kawaida... Hii ni tabia ni mbaya sana
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom