Usidhan kila mtu ni mbumbumbu kama wewe!danganya nyumbu wenzako!Kimsingi nimewahi kufanya kazi na serikali zote, lakini hii ya awamu ya tano ni kiboko. Haya ni baadhi tu ya mambo ya uwongo ambayo waliwahadaa watanzania; .
1: kila kijiji kitapewa milioni 50 katika kila mwaka.
2: Tumepunguza mishahara ya watu wanao pokea mishahara mikubwa ili kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa chini
3: ACCACIA wamekubali kutulipa tilioni 108 walizotuibia
4: Kila mwalimu atapewa tablet
5: Wapinzani wasitegemee kupewa nafasi yoyote katika serikali hii.
6:Mafisadi ndio wanaolalamika hakuna fedha mitaani.
7: Katika serikali yangu vilaza hawana nafasi.
Uwongo mwingine unao ukumbuka unaweza kuongezea mwenzangu mwana jf.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Kimsingi nimewahi kufanya kazi na serikali zote, lakini hii ya awamu ya tano ni kiboko. Haya ni baadhi tu ya mambo ya uwongo ambayo waliwahadaa watanzania; .
1: kila kijiji kitapewa milioni 50 katika kila mwaka.
2: Tumepunguza mishahara ya watu wanao pokea mishahara mikubwa ili kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa chini
3: ACCACIA wamekubali kutulipa tilioni 108 walizotuibia
4: Kila mwalimu atapewa tablet
5: Wapinzani wasitegemee kupewa nafasi yoyote katika serikali hii.
6:Mafisadi ndio wanaolalamika hakuna fedha mitaani.
7: Katika serikali yangu vilaza hawana nafasi.
Uwongo mwingine unao ukumbuka unaweza kuongezea mwenzangu mwana jf.
Hii ni serikali ya awamu ya tako (typing error)Mleta mada ndio muongo namba moja africa. Mzushi na mpotoshaji mkubwa
Mleta mada ndio muongo namba moja africa. Mzushi na mpotoshaji mkubwa
Huu ni uongo wako sio serikali. Serikali haijawahi kutamka hivyo; umeongopea umma wa JF.3: ACCACIA wamekubali kutulipa tilioni 108 walizotuibia
Ni kupoteza muda kuhangaika na wicked personality. Kukanusha tu, kuwa sio, inatosha.Ili kumkosoa mleta mada basi wewe ungeleta Ukweli ili mleta mada ahaibike kinyume na hapo alicholeta mleta mada ni ukweli kwa wengine.