Serikali ya awamu ya tano inaongoza kwa uwongo kuliko serikali zote

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Kimsingi nimewahi kufanya kazi na serikali zote, lakini hii ya awamu ya tano ni kiboko. Haya ni baadhi tu ya mambo ya uwongo ambayo waliwahadaa watanzania; .
1: kila kijiji kitapewa milioni 50 katika kila mwaka.
2: Tumepunguza mishahara ya watu wanao pokea mishahara mikubwa ili kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa chini
3: ACCACIA wamekubali kutulipa tilioni 108 walizotuibia
4: Kila mwalimu atapewa tablet
5: Wapinzani wasitegemee kupewa nafasi yoyote katika serikali hii.
6:Mafisadi ndio wanaolalamika hakuna fedha mitaani.
7: Katika serikali yangu vilaza hawana nafasi.

Uwongo mwingine unao ukumbuka unaweza kuongezea mwenzangu mwana jf.
 
Usidhan kila mtu ni mbumbumbu kama wewe!danganya nyumbu wenzako!
 
Hawa wanachofanya ni Siasa ila uwongo wao huu utawaumbua haijawahi kutokea kila mtu anaona na dunia yote inaona!
 
Kimsingi nimewahi kufanya kazi na serikali zote, lakini hii ya awamu ya tano ni kiboko. Haya ni baadhi tu ya mambo ya uwongo ambayo waliwahadaa watanzania; .
1: kila kijiji kitapewa milioni 50 katika kila mwaka.
2: Tumepunguza mishahara ya watu wanao pokea mishahara mikubwa ili kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa chini
3: ACCACIA wamekubali kutulipa tilioni 108 walizotuibia
4: Kila mwalimu atapewa tablet
5: Wapinzani wasitegemee kupewa nafasi yoyote katika serikali hii.
6:Mafisadi ndio wanaolalamika hakuna fedha mitaani.
7: Katika serikali yangu vilaza hawana nafasi.

Uwongo mwingine unao ukumbuka unaweza kuongezea mwenzangu mwana jf.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom