Serikali ya awamu ya tano inaongoza kwa uwongo kuliko serikali zote

Eti anachukia majizi na mafisadi wakati yeye ni sehemu ya ufisafi wengine kawapa nyadhifa eg Dr dau
 
Kimsingi nimewahi kufanya kazi na serikali zote, lakini hii ya awamu ya tano ni kiboko. Haya ni baadhi tu ya mambo ya uwongo ambayo waliwahadaa watanzania; .
1: kila kijiji kitapewa milioni 50 katika kila mwaka.
2: Tumepunguza mishahara ya watu wanao pokea mishahara mikubwa ili kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa chini
3: ACCACIA wamekubali kutulipa tilioni 108 walizotuibia
4: Kila mwalimu atapewa tablet
5: Wapinzani wasitegemee kupewa nafasi yoyote katika serikali hii.
6:Mafisadi ndio wanaolalamika hakuna fedha mitaani.
7: Katika serikali yangu vilaza hawana nafasi.


Uwongo mwingine unao ukumbuka unaweza kuongezea mwenzangu mwana jf.
..sasa hapo unaona umeandika kitu cha maana!
 
Back
Top Bottom