Nakumbuka ukaguzi wa halmashauri moja mahesabu yalionyesha ndizi moja ilinunuliwa kati ya elfu 5 na elfu 7, lkn utaratibu wote ulifuatwa na signature zote zilikuwepo, huo ndio wizi wa akili bila kutumia nguvu wala ubabe.Enzi za JK watu walikuwa wanapiga bila UBABE, Procedures zote zilikuwa zinafuatwa ila madudu yalikuwa mengi ndio kama yale Jezi Moja ya Kijana aliuzwa kwa Laki moja lakini utaratibu umefuatwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka ukaguzi wa halmashauri moja mahesabu yalionyesha ndizi moja ilinunuliwa kati ya elfu 5 na elfu 7, lkn utaratibu wote ulifuatwa na signature zote zilikuwepo, huo ndio wizi wa akili bila kutumia nguvu wala ubabe.
Uimara wake uko wapi katika hilo.
Ndio alikuwa dhaifu kwa kuwa alishindwa kuwakabili wezi waliofichuliwa na taasisi huru alizoziweka kama BUNGE, MEDIA, TAKUKURU na CAG.
Uwizi ni uwizi tu iwe wa kutumia kalamu au bunduki wote ni wahalifu tu hamna mwenye afadhali hapo.Nakumbuka ukaguzi wa halmashauri moja mahesabu yalionyesha ndizi moja ilinunuliwa kati ya elfu 5 na elfu 7, lkn utaratibu wote ulifuatwa na signature zote zilikuwepo, huo ndio wizi wa akili bila kutumia nguvu wala ubabe.
Mwizi ni mwizi lkn kuna mwizi mwingine akishakuibia anakumaliza hapohapo.Uwizi ni uwizi tu iwe wa kutumia kalamu au bunduki wote ni wahalifu tu hamna mwenye afadhali hapo.
Ndio alikuwa dhaifu kwa kuwa alishindwa kuwakabili wezi waliofichuliwa na taasisi huru alizoziweka kama BUNGE, MEDIA, TAKUKURU na CAG.
Jiwe yeye kaona badala ya kudhibiti Rushwa na ufisadi, yeye kadhibiti TAASISI ZOTE ZINAZOFICHUA na KUDHIBITI Rushwa na UFISADI kama BUNGE, CAG, MEDIA, Opposition na TAKUKURU.
Anachota na kutafuna bila KELELE.
Kama walivyowahi kusema Zitto na Lissu, huu ni utawala wa kishamba sana kuwahi kutokea, wanaiona hazina kama ya ukoo hawajui hesabu huwa hazijifichi, kuna siku Tanzania itakuja kupata kiongozi kichaa zaidi yao akaamua kufukua makaburi yote.Ndio alikuwa dhaifu kwa kuwa alishindwa kuwakabili wezi waliofichuliwa na taasisi huru alizoziweka kama BUNGE, MEDIA, TAKUKURU na CAG.
Jiwe yeye kaona badala ya kudhibiti Rushwa na ufisadi, yeye kadhibiti TAASISI ZOTE ZINAZOFICHUA na KUDHIBITI Rushwa na UFISADI kama BUNGE, CAG, MEDIA, Opposition na TAKUKURU.
Anachota na kutafuna bila KELELE.
Hii kiboko service ya twiga tu 14bn uliona wapiNakumbuka ukaguzi wa halmashauri moja mahesabu yalionyesha ndizi moja ilinunuliwa kati ya elfu 5 na elfu 7, lkn utaratibu wote ulifuatwa na signature zote zilikuwepo, huo ndio wizi wa akili bila kutumia nguvu wala ubabe.
Halafu ukiangalia ukweli halisi,ni kipindi cha Dau na huyu Assad pale nssf ndio Zitto alikuwa top kimapato hadi kufikia kuwa mbunge pekee aliyekuwa anatumia HUMMER !,gari la bei mbaya kabisa kwa viwango vya mapato na mshahara wa mbunge.Nimemsiki Msiba kuhusu NSSF miradi miwili tu nikachoka kabisa. Mzee Ruksa alikuja na Azimio la Zanzibar kuonesha kufuta lile la Arusha la Nyerere.
NSSF wakaja na mradi wa nyumba Azimio kulipizia zile nyumba Nyerere alizo zitaifisha kwa kuongezea zero kwenye gharama. Mfano ni manunuzi ya ardhi eti Tanzania ekari moja Dege kigamboni 800,000,000/- Arusha ekari moja 1,400,000,000/- angalia sifuri hizo zililivyotumika kulipizia ule utaifishaji. Na mradi ukaitwa Azimio ili kumkebehi Nyerere kuendeleza kilicho anzishwa kule Zanzibar.
Sasa hujuma za kuhujumu awamu ya 5 ziko njenje kwa kila mtu kuona. Washika dau wa hujuma hizo jiongeze haihitaji akili nyingi.