Masikini Kule kijijini wanatozwa kodi na ushuru, hawajui hata maana ya dili, lakini wana hali mbaya mpaka inatia huruma. Afadhali yeye aliwahi kupigs dili LA nyumba za serikali na nyingine kumnunulia mama mdogo Sundi Malomo. Kilangila.Lakini Jiwe anadai kila anayelalamikia hali mbaya alikuwa mpiga "dili" katika awamu zilizopita!
Hivi kweli mamilioni ya watu wanaopiga kelele vijijini na mijini kutokana na hali mbaya sana ya uchumi, wote walikuwa wezi kwenye tawala za awamu zilizopita??