Serikali wekeni watu sahihi kwenye Wizara

Siyo wivu ni vilaza wa kiwanga Cha Sgr Sasa kwa nini wasiambiwe? Tanzania ina watu wengi wazuri lakini hawaonekani ndio maana hatuendelei Phd feki anachojua tozo tu shame
Wewe umelifanyia nini cha maana taifa hadi kufikia kuita wenzako vilaza?
 
Siyo wivu ni vilaza wa kiwanga Cha Sgr Sasa kwa nini wasiambiwe? Tanzania ina watu wengi wazuri lakini hawaonekani ndio maana hatuendelei Phd feki anachojua tozo tu shame
Kilaza kimoja hapo kiliwekwa kwa lengo la kupitishia pesa kwenda kisiwani .yaani ni empty headed ati PHD dah.
 
Hauna akili, sasa huyu unayemuhoji kaifanyia nn nchi ye ni kiongozi wa wizara gani ua kapewa sehemu gani atuongoze hapa Tz?!
Hata wewe huna akili,kuifanyia jambo nchi yako sio mpaka uwe kiongozi.
 
Mawaziri wa Samia majibu ni

Ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya

Full kukariri madesa maarifa zero
 
Huyu waziri kwa maamuzi anayoyafanya ya kuumiza WaTz walio wengi, anaombewa duwa mbaya kila kukicha. Hivyo hii ya kuoneka waziwazi mbele ya umma kwamba hajui TRAT na TRAB ni duwa za wanyonge wanaoendelea kuumizwa na maamuzi yake.
 

Naunga mkono hoja .mawaziri walitakiwa kuwa watendaji na Siyo wanasiasa.hapa ndipo Africa inapofeli maana utakuta Mtu anafanya kazi huku kichwani kumejaa uwanachama

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…