Serikali wekeni regulation katika Shule za Private

pasi padinde

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
282
299
Habari wana jamii

Shule za private hasa za msingi sijui kama zinatizamwa kwa ukaribu na wizara ya Elimu. Mama ndalichako tafadhali unda kikosi kazi zichunguzwe hizi shule. Kuna mikataba ya ajabu sana kwa walimu

Wakenya wamejazana katika mashule yetu na sijui kama wanalipa permit za kuishi nchini kihalali. Shule zina dimand sana ada kuliko kinachofundishwa kwa watoto


Niombe kuwe na grades katika shule hizi za private. Yaani ukienda hotel zimewekwa grade

Normal, lodge unakuta hata taulo zinanuka bei 5000-25000
Highly .......30000.......90000
Nyota tano
100000 mpaka millions huko

Mabasi pia

Lakini shule hizi zipo ovyo kabisa serikali inapoteza mapato sana
Serikali inashindwa kutoa usimamizi ili kujua nini kipo huko.


Fuatilieni
 
Back
Top Bottom