kichwabox
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 152
- 40
Kuna umuhimu serikali kuweka dawa za matatizo ya akili wilaya zote kama ilivyo kwa HIV kuondoa usumbufu kwa wanaochukua dozi hizo na ikumbukwe yapo magonjwa mengi ya akili kama kupendelea kunywa pombe kulikopitiliza,kupenda kukaa uchi,kutokula (eating disorder),bipolar na kadhalika.
Nawakilisha.
Nawakilisha.