DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 403
- 386
Kama tunavyojua kuna kitu kinahitwa freedom to worship, lakin hiyo freedom inatumima vibaya
Matapeli wengi siku hizi wamekuwa watu wa kuwaibia wananchi kupitia mgongo wa kanisa, kupitia kitu kinaitwa FUNGU LA KUMI, Baadhi ya wanaojiita watumishi wamekuwa wakikwepa kodi ya mapato, pia hawalipi mapato pale wanapoagiza vifaa toka nje kwa kisingizio kuwa ni vifaa vya kanisa , kumbe wanapitisha magari kwa ajili ya matumizi binafsi, na Mali nyinginezo, tumeshuhudia serikali ikifungia madaktari na matabibu feki, hata shule zisizo na vigezo, lakin ni bora wakachunguzwa hata hawa wanaojiita manabii, asilimia kubwa ni matapeli,
Najua wanatumia udhaifu wa akina Dada zetu na mama zetu kujipatia kipato kwa njia za ushawish,
Wanakwepa kodi maana wana import vitu vingi kupitia migongo ya majina ya kanisa walizosajiri
Wanapotosha wananchi na wengine wanahubiri siasa kabisa makanisani,
Note , serikali iwe na utaratibu mpya na kuzichunguza kanisa zote