Serikali usiingilie mpira mechi itapelekwa Rwanda

Serikali usiingilie mpira mechi itapelekwa Rwanda

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,708
Naona watu wasiowajua CAF vizuri inawaambia serikali ifanye udanganyifu Ili mechi isichezwe New Amani

Nasema kama mnataka kujichanganya mkacheze mechi Kwa Kagame iambieni serikali itie ngumu hapo ki uhlisia jamaa wanajua chore kinachoendelea bongo
 
Dah! Wale wazee wetu warudishe tu hela zetu. Maana hakuna namna. Uwezo wa kuhamishia yale makafara yao Zanzibar, haupo kwa sasa.
 
Nimefurahi sana mechi kwenda Zanzibar, vndo watu waelewe viongozi walivyo wapigaji
 
Back
Top Bottom