Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,181
Mbona sokoni, bar, hotelini na stand ya daladala watu wanakusanyika bila kibali cha polisi? Hatuishi kwa sheria tuPolisi: Piga kura kisha rudi nyumbani
Rais: Piga kura kisha rudi nyumbani
Tume: Piga kura kisha rudi nyumbani
Mahakama: Itasema mkae mita 200 kwa kufuata sheria
Sheria inasemaje: Ili ufanye mkusanyiko nje ya mita 200 lazima uwe na kibali cha polisi
Polisi walisemaje: Piga kura rudi nyumbani
...Do I need to say anymore!?
Polisi: Piga kura kisha rudi nyumbani

Mbona sokoni, bar, hotelini na stand ya daladala watu wanakusanyika bila kibali cha polisi? Hatuishi kwa sheria tu
nadhani hayo ni maoni yake binafsi. Sisi tuna deal na tume ya taifa ya uvhaguzi kwanza.
Waziri anapingana na amri halali ya rais? JK timua huyu hata kama zimebaki siku tatu, maana hakuna namna!
Polisi: Piga kura kisha rudi nyumbani
Rais: Piga kura kisha rudi nyumbani
Tume: Piga kura kisha rudi nyumbani
Mahakama: Itasema mkae mita 200 kwa kufuata sheria
Sheria inasemaje: Ili ufanye mkusanyiko nje ya mita 200 lazima uwe na kibali cha polisi
Polisi walisemaje: Piga kura rudi nyumbani
...Do I need to say anymore!?
Wakati Taifa likisubiri uamuzi wa kesi ya mita 200 iliyofunguliwa Mahakama Kuu ya Tanzania na Amy Patience Kibatala, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe, ambaye Wizara yake inasimamia jeshi la polisi ametoa tamko. Chikawe amesema kuwa zipo Sheria zinazoruhusu kuwapo kwa maandamano na mikusanyiko, zikiwataka wanaotaka kufanya hivyo kupata kibali cha polisi.
"Ikiwa kituo cha kupigia kura kipo nyumbani kwako huwezi kuhama nyumba, ila hupaswi kufanya sherehe. Piga kura na tii Sheria ya Uchaguzi. Kwa watakaotaka kukusanyika, waombe kibali cha Jeshi la Polisi kama Sheria inavyowataka. Tunachohitaji ni kuwepo kwa amani wakati na baada ya kumalizika uchaguzi mkuu" alisema
Chanzo: Mwananchi la leo, ukurasa wa 1 na 3
Swali langu binafsi: Polisi watatoa vibali hivyo?