Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Mwaka 2015 kulikuwa na pressure ya uanzishaji wa chuo hiki. Nakumbuka vc alichaguliwa na chancellor wa chuo. Mwaka 2016 January na April nikaona nafasi za kazi zimetangazwa na Utumishi. Mpaka sasa tunataka tujue chuo kipo au hakipo.