Serikali ya Tanzania: Tunalaani vikali vitendo vya utekaji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,156
Reaction score
7,238

Serikali ya Tanzania imesema kuwa inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hayo yamesemwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026

Katika roho ya mazungumzo ya kujenga, ningependa kutoa maoni kuhusu madai ya kupotezwa kwa lazima (enforced disappearances)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hata hivyo, Serikali inasisitiza kwamba si kila taarifa ya kupotea au kutekwa inajumuisha kosa la kupotezwa kwa lazima kisheria. Kila tukio la kupotezwa linahitaji ushahidi wa kuhusika kwa vyombo vya dola (state involvement), kuidhinishwa, kuungwa mkono, au kufumbiwa macho na serikali, pamoja na kufichwa au kukataliwa kukubali kunyimwa kwa uhuru.

Lakini pia, Serikali haichukulii kesi ambazo hazijatatuliwa (unsolved cases) kama zimefungwa. Hakuna ukomo (limitation) kwenye uchunguzi. Kesi zinazohusu watu ambao hajulikani walipo, zikiwemo kesi zenye unyeti wa kisiasa, zinaendelea kuhitaji uchunguzi unaozingatia ukweli wa kila tukio lenyewe.

Soma Pia: Simon Levy apatikana na makosa ya ubakaji na mauaji

Serikali inaendelea kujidhatiti katika kuchunguza kila ripoti inayoaminika (credible report), kubaini hatima na walipo watu waliopotea, na kuchukua hatua za kisheria kwa makosa ya jinai pale ambapo ushahidi upo. Pia, tunahakikisha uwajibikaji (accountability) pale ambapo kuhusika kwa serikali au vitendo vingine visivyo halali vinathibitishwa.
 
Hapo hao ni wasomi wabobezi nawaona wengine ni waadhili vyuo vikuu nchini..na imagine they acted like that na ripoti kama hiyo unaenda kuisoma hadharani kimataifa huku ndio kudharirisha taifa sasa..

Ni ujinga kudhani kuwa mataifa kama uingereza, USA hawajui nini kinaendela hapa nchini sio wapumbavu hata kidogo
Tujisahihishe.
 
Serikali ya Tanzania imesema kuwa inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hayo yamesemwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026

Katika roho ya mazungumzo ya kujenga, ningependa kutoa maoni kuhusu madai ya kupotezwa kwa lazima (enforced disappearances)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hata hivyo, Serikali inasisitiza kwamba si kila taarifa ya kupotea au kutekwa inajumuisha kosa la kupotezwa kwa lazima kisheria. Kila tukio la kupotezwa linahitaji ushahidi wa kuhusika kwa vyombo vya dola (state involvement), kuidhinishwa, kuungwa mkono, au kufumbiwa macho na serikali, pamoja na kufichwa au kukataliwa kukubali kunyimwa kwa uhuru.

Lakini pia, Serikali haichukulii kesi ambazo hazijatatuliwa (unsolved cases) kama zimefungwa. Hakuna ukomo (limitation) kwenye uchunguzi. Kesi zinazohusu watu ambao hajulikani walipo, zikiwemo kesi zenye unyeti wa kisiasa, zinaendelea kuhitaji uchunguzi unaozingatia ukweli wa kila tukio lenyewe.

Soma Pia: Simon Levy apatikana na makosa ya ubakaji na mauaji

Serikali inaendelea kujidhatiti katika kuchunguza kila ripoti inayoaminika (credible report), kubaini hatima na walipo watu waliopotea, na kuchukua hatua za kisheria kwa makosa ya jinai pale ambapo ushahidi upo. Pia, tunahakikisha uwajibikaji (accountability) pale ambapo kuhusika kwa serikali au vitendo vingine visivyo halali vinathibitishwa.
Wakati nyie ndiyo watekaji, mnalaani nini mbwa nyie? Serikali ndiyo mtekaji namba moja. Huyo mama Kitambi Samuya ndiye mtekaji nambari one, mnaongea nini ninyi wapumbavu huko GENEVA?
 
COUNTDOWN IMEBAKI MIEZI 16 TU ...VIONGOZI WAPUMBAVU WAISLAMU HATA HAWAELEWE HIYO COUNTDOWN NI NINI ... SIKU SI NYINGI WATAANZA KUKANANA ..VINGINEVYO SAMIA KABAKISHA KARATA MBILI TU, TENA NI KARATA HATARI
1) KUJIBAKISHA MADARAKANI KWA AWAMU YA 3...au
2)KUMSIMIKA MTOTO WAKE URAIS...
Kinyume na hapo ..........
 
Serikali ya Tanzania imesema kuwa inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hayo yamesemwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026

Katika roho ya mazungumzo ya kujenga, ningependa kutoa maoni kuhusu madai ya kupotezwa kwa lazima (enforced disappearances)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hata hivyo, Serikali inasisitiza kwamba si kila taarifa ya kupotea au kutekwa inajumuisha kosa la kupotezwa kwa lazima kisheria. Kila tukio la kupotezwa linahitaji ushahidi wa kuhusika kwa vyombo vya dola (state involvement), kuidhinishwa, kuungwa mkono, au kufumbiwa macho na serikali, pamoja na kufichwa au kukataliwa kukubali kunyimwa kwa uhuru.

Lakini pia, Serikali haichukulii kesi ambazo hazijatatuliwa (unsolved cases) kama zimefungwa. Hakuna ukomo (limitation) kwenye uchunguzi. Kesi zinazohusu watu ambao hajulikani walipo, zikiwemo kesi zenye unyeti wa kisiasa, zinaendelea kuhitaji uchunguzi unaozingatia ukweli wa kila tukio lenyewe.

Soma Pia: Simon Levy apatikana na makosa ya ubakaji na mauaji

Serikali inaendelea kujidhatiti katika kuchunguza kila ripoti inayoaminika (credible report), kubaini hatima na walipo watu waliopotea, na kuchukua hatua za kisheria kwa makosa ya jinai pale ambapo ushahidi upo. Pia, tunahakikisha uwajibikaji (accountability) pale ambapo kuhusika kwa serikali au vitendo vingine visivyo halali vinathibitishwa.
Hii ngoma inaitwa Cheketu cheketu Mahepe.

Unaijua ngoma ya Mahepe?
 
Hawa watawala wanafikiri huu ujinga wanaofanya mabeberu hawaelewi...

Mbinu zote wanazofanya, hao watu walishapitia miaka mia moja nyuma...

Hao wazungu kila siku wanapambana dhidi ya ugaidi, utekaji na kila aina ya uhalifu...

Hao wazungu wameitawala Africa..
Wana elimu, wana uchumi na wana majasusi kila angle...

Hapo mabeberu wana wana waenjoy tu hapa... huku watawala wakiwa wanajichoresha...
 
Serikali ya Tanzania imesema kuwa inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hayo yamesemwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026

Katika roho ya mazungumzo ya kujenga, ningependa kutoa maoni kuhusu madai ya kupotezwa kwa lazima (enforced disappearances)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.

Hata hivyo, Serikali inasisitiza kwamba si kila taarifa ya kupotea au kutekwa inajumuisha kosa la kupotezwa kwa lazima kisheria. Kila tukio la kupotezwa linahitaji ushahidi wa kuhusika kwa vyombo vya dola (state involvement), kuidhinishwa, kuungwa mkono, au kufumbiwa macho na serikali, pamoja na kufichwa au kukataliwa kukubali kunyimwa kwa uhuru.

Lakini pia, Serikali haichukulii kesi ambazo hazijatatuliwa (unsolved cases) kama zimefungwa. Hakuna ukomo (limitation) kwenye uchunguzi. Kesi zinazohusu watu ambao hajulikani walipo, zikiwemo kesi zenye unyeti wa kisiasa, zinaendelea kuhitaji uchunguzi unaozingatia ukweli wa kila tukio lenyewe.

Soma Pia: Simon Levy apatikana na makosa ya ubakaji na mauaji

Serikali inaendelea kujidhatiti katika kuchunguza kila ripoti inayoaminika (credible report), kubaini hatima na walipo watu waliopotea, na kuchukua hatua za kisheria kwa makosa ya jinai pale ambapo ushahidi upo. Pia, tunahakikisha uwajibikaji (accountability) pale ambapo kuhusika kwa serikali au vitendo vingine visivyo halali vinathibitishwa.
Pumbavu anasoma haongei nonsense
 
Back
Top Bottom