vitendo vya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania: Tunalaani vikali vitendo vya utekaji

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru. Hayo yamesemwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Tulidhani yaliyotokea Oktoba 29, yangekuwa mwisho, lakini baada ya hapo vitendo vya utekaji vinaendelea

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema matukio ya utekaji nchini yameanza kuwa jambo la kawaida, akieleza kuwa yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Amesema ingawa waathirika wa matukio hayo pamoja na familia, marafiki na majirani zao huumia, bado...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya utekaji na mauaji ya raia: Ni wakati sahihi sasa kukubali vyombo vya kimataifa kuja na kuchunguza ili kuisafisha CCM na Serikali yake

    Mara nyingi serikali umesema haihusiki na vitendo vya kuteka na kuuwa raia wake ila kwa muongo sasa vitendo hivyo vimeshamiri nchini. Nakumbuka Waziri mkuu ndugu Nchemba alisema kuwa utekaji na mauaji hufanywa na watu wenye akilia sana bila shaka hapa anamaanisha kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

    Salaam! Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea. 1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee? 2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge la Tulia Ackson kushindwa kujadili vitendo vya utekaji na watu kupotea, Mbunge yeyote ambae angejiuzulu, angejingea heshima kubwa sana

    Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na ndio maana hakuna hata mmoja alieona thamani ya kujiuzulu ubunge na kukataa kuwa sehemu ya Bunge...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalaani vitendo vya utekaji, watu kupotea

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia mwenyekiti wake mpya, Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi. Tamko hilo limetolewa kufuatia Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya hiyo...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana. Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Muro: Vitendo vya utekaji vilikuwepo tangu enzi za kina Oscar Kambona. Kuna mawaziri walikuwa wanakimbia nchi

    Wakuu, Akiwa anamjibu Askofu Gwajima siku ya leo, Jerry Muro amesema kuwa vitendo vya utekaji Tanzania havijaanza leo na kwamba kuna kipindi katika nchi hii kuna hadi mawaziri walikimbia nchi. "Vitendo vya utekaji na kupigwa risasi nataka nikurudishe nyuma kidogo, vitendo hivi vilikuwepo au...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

    Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT " Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida: Uchunguzi ufanyike kufuatia vitendo vya utekaji na mauaji

    Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea. Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa...
  12. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kama vitendo vya utekaji havina baraka za Rais Samia, basi asimame na kuruhusu wananchi kujilinda dhidi ya wahalifu

    Mambo yanayoendelea Tanzania hayajengi uoga kwa Watanzania kama mnavyodhani, bali yanajenga usugu. Usugu huu unazaa kiburi kwa wananchi. Kiburi kitazaa dharau kwa Jeshi la Polisi na wananchi, na hatimaye dharau hizo zitaelekea kuzaa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Nadhani CCM mnataka tufike hapa...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tuna uthibitisho na tunaamini Abdul Nondo yupo kwenye mikono ya vyombo vya dola

    Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama hicho, Mbarala Maharagande, leo Desemba 1, 2024 WANACHAMA WETU 200 WANAISHI PORINI KWA VITISHO...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawakumpa Abdul Nondo wito wa kufika Kituo cha Polisi kama wanamuhitaji kwa nia njema?

    Swali hilo linanifanya nianze kufikiri na kuamini kwa uhakika kuwa hawa sio Polisi wa kawaida bali hiki kinachoendelea ni matumizi mabaya ya ile sheria inayowapa watu wa usalama wa Taifa (TISS) haki ya kukamata watu huku wakiwa na kinga maalumu. Kama Polisi wapo, basi watakuwa wameshirikishwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

    Salaam, Shalom! Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto. Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana...
  16. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa watanzania baada ya pause ya vitendo vya utekaji ni meseji kubwa kwa taifa .

    - Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa; -kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  18. Bwana kaduga

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuimarisha usalama na kulinda amani ya wananchi dhidi ya vitendo vya utekaji Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. SAMIA SULUHU HASSAN, Kwa heshima na taadhima, napenda kukuandikia ujumbe huu nikiwa na imani na uongozi wako thabiti unaoongoza taifa letu la Tanzania. Tumekuwa tukisikia kwa muda sasa...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kama upo serious kutaka kukomesha watekaji na wauaji, toa amri ya kukamatwa wote wenye mwelekeo wa kuwa na mwingiliano na watekaji

    KWenye jambo hili la utekaji na mauaji halijaanza na ndugu Yetu Ali Kibao. Limekuwepo kwa muda sasa huku likilindwa na baadhi ya watu wente namlaka. Kama kweli Rais unataka kuwapata wahusika kamili na kujua nafasi zao kwenye huu ushetani, ungetoa maelekezo wafuatao wakamatwe mara moja: 1)...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
Back
Top Bottom