Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

Hahahaa MATAGA bwana wakishindwa hoja wanaanza matusi ili wareport kwa mods upigwe BAN,Siingiagi kwenye MITEGO ya ZERO BRAIN maana walipolala wao ndio nilipoamka.

Mwambie "LOYA" wenu MSoMi ALIBETO MSANDO akalipe Bilioni 9.5 kwa S.A.A ili ndege yetu "BOMBADYEEEEE KYU FO HANDRILEDI" iachiwe.
unajifanya mjaaanja..hahahaha
 
Alaaaaaaa... kumbe mnadaiwa jamani.... ndo mlipe sasa...
Hii ndio serikali ya magu, yaani ametunyang'anya uzalendo kwa ubaguzi wa wazi kwa watanzania.
+++ kiukweli ningeomba lipite roli la mafuta apo jirani na iyo ndege lupinduke na liilipukie ili iungue na kubaki majivu.
 
Mijitu mingine inadhani biashara ya ndege ni kama biashara ya vitumbua. Inaingia tu kama mijuha. Ma.mae zake!!!!
 
Dah hii ni changamaoto lakini swali ni je wahusika hawakujua kama tunadiw na SAA kipindi chote hicho?na je kama walifahamu walichukua hatua gani?
 
Ndg mmteule,
Utaifa haujengwi kwa chuki. Unajengwa kwa upendo. Haiwezekani CCM wakawaita wapinzani majina mabaya na kuwabeza kisha ukatarajia wayapende maamuzi yenu mabaya. No way! Najua unaona namna wabunge wa upinzani wanavyobezwa bungeni, na CCM wanatumia uwingi wao kufanya maamuzi mabovu kabisa yanayogharimu nchi. Kwa nini CAG hakuruhusiwa kukagua process nzima ya ununuzi wa ndege hizi? Nani aliidhinisha ununuzi wa hizi ndege? Sasa kwa nini matatizo wasababiahe wao halafu watake tulie wote? By the way kinachotuuma kama walipa kodi ni kwamba ndege hizi tumenunua kwa kodi zetu. Tunaumia kuona hazizalishi faida kwa kadri ya matarajio tuliyolishwa hapo kabla!
Wise 🙏🙏🙏🙏
 
Mimi nashauri serikali ilipe madeni, haina maana kulalamika. Baba anayejenga maghorofa kwa fedha za mikopo halafu hakumbuki kulipa madeni kwenye taasis alizokopa, mwisho wa siku ataiachia umaskini familia yake . tusiishi ki John komba
 
Usipende kugenalize vitu. Sisi watanzania tunaishi maisha ya ajabu sana. Tusipo wakontrol wanasiasa maendeleo ya nchi sahau kabisa. Lazima nchi iweke taasisi zinazohiendesha vizuri na kuwa huru. Mkurugenzi wa ATCL alitakiwa awe na MBA maana atajua jinsi ya kusimamia rasilimali.
Mwenzako akilalamika amekanyagwa usibishe huo ndo ukweli wake. Maendeleo ya nchi yoyote huleta na wafanyabiashara, kama huna middle class imara maendeleo hakuna
Hakuna safari ya mafanikio isiyo na changamoto. Kwa upande wangu namkubali Sana JPM ameonesha nia njema. Ila ni utoto wa hali ya juu kushangilia baba yako anapo anguka wakati huo unamtegemea kwa mahitaji. Hivi sisi waafrika nani katuroga tuna fanya vitu kama washirikina hatutaki kuona hata maendeleo ya nchi yetu. Muda wote tumekuwa washangiliaji tunapo anguka wenyewe. We need to be pro government and not against.
 
Nimeona hii press release huko twitter, nikasema labda ni habari fake!!

Kwakuwa wanamshikia Lissu Bango huko mahakamani,basi na wao wawe wapole tu na wala wasilalamike maana sheria ni msumeno.

Hapo itabidi wagharamie chakula na malazi ya abiria wote in case watakosa ndege ya kuwasafirisha hao abiria.

Tusipotendeana haki sisi wenyewe humu nchini,haya majanga hayataisha(Mungu ataaendelea tu kutuadhibu)

Mungu si mwanadamu, na wote tuko sawa mbele yake.
Hizi ndege zetu hazina tofauti na NAJIMUNISA BUS SERVICE yaani kulala njiani siku mbili kitu cha kawaida au kufaulishwa Kwenye basi tofauti,Kwa kifupi sidhani kama kuna abiria huko nje ya nchi ataweza kupanda usafiri usio na uhakika
 
Na wakati nchi inasukwasukwa hivi kuna mijitu isiyojitambua inashabikia kila aina ya upumbaFU unaofanywa katika nchi hii.
 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ameomba radhi kwa usumbufu ulijitokeza kwa abiria wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) waliokuwa wasafiri kutoka Johannesburg kwenda jijini Dar

Ameomba radhi hiyo kutokana na abiria hao kushindwa kusafiri kutoka uwanja wa Oliver Tambo jijini Johannesburg baada ya ndege hiyo kushindwa kufanya safari kama ilivyopangwa kutokana na kuzuiwa

Kwa mujibu wa taarifa ambayo Serikali imepokea, ndege hiyo imezuiwa kwa amri ya Mahakama Kuu ya Gauteng, Johannesburg na Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Mwanasheria Mkuu inafuatilia ili ndege iachiwe

View attachment 1188590
Dawa ya mideni ni kuilipa mambo mengine yaendelee
 
We jamaa kweli zero.
Hivi wale Jamaa waliozuia ndege yetu Canada walikuwa wanaidai ATCL?
Ukishajua walikuwa wanamdai nani utaelewa kwa Nini nimekuota zero
Katika wapuuzi ambao wanastaili kubadilishana na mbegu za matikiti maji basi wewe ni mmoja wapo.
 
Back
Top Bottom