Serikali tatu

Serikali tatu

Mwakikoti Moi

Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Hivi watu wanaotaka serikali tatu ni manufaa yapi ya msingi Kwa wananchi mnsyoyataka kama sio kutaka kufanya majaribio kwa wananchi
 
Hivi watu wanaotaka serikali tatu ni manufaa yapi ya msingi Kwa wananchi mnsyoyataka kama sio kutaka kufanya majaribio kwa wananchi

Another programmed robot who can't think for himself crawling out of his hole.It looks to me that CCM have kept a lot of brainless zombies who think and talk in the manner CCM crooks want them to.What a piece of ----!!!!
 
Hivi watu wanaotaka serikali tatu ni manufaa yapi ya msingi Kwa wananchi mnsyoyataka kama sio kutaka kufanya majaribio kwa wananchi

.
Tanzania kwa mujibu wa muasisi wa nchi na katiba yake ni nchi ya ujamaa na kujitegemea.
Je ciciem intarahamwe walivyo anzisha azimio la Zanzibar dhidi ya lile la nyerere Arusha, kwa ubebari na kujilimbukizia mali za wizi, ni majaribio au?
.
 
Hivi watu wanaotaka serikali tatu ni manufaa yapi ya msingi Kwa wananchi mnsyoyataka kama sio kutaka kufanya majaribio kwa wananchi

Unafikiri kwa kutumia nini ati! TBC wamekunyonya akili. Au ndo tukubali kwamba baada ya Nyerere kufa kaondoka na akili za CCM hawawezi tena kutumia akili zao kwamba kama jambo hakuwahi kufanya Nyerere ccm hawawezi kufanya.
 
Back
Top Bottom