K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Dec 18, 2012 #1 henzi za ST hizo Attachments magari yetu.jpg 57.1 KB · Views: 230
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 612 Dec 18, 2012 #2 Good old dayz
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,209 Dec 18, 2012 #3 Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A MFANO ST 204 A
Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A MFANO ST 204 A
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Dec 18, 2012 #4 we acha tu mambo yalikuwa supa. Mafisadi hawakwepo
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Dec 18, 2012 #5 Bamwanasha said: Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A MFANO ST 204 A Click to expand... Hayo ni magari ya wanyofoa kucha na meno bila ganzi
Bamwanasha said: Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A MFANO ST 204 A Click to expand... Hayo ni magari ya wanyofoa kucha na meno bila ganzi
SWEEPER JF-Expert Member Joined Jul 16, 2012 Posts 269 Reaction score 87 Dec 18, 2012 #6 Bamwanasha said: Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A MFANO ST 204 A Click to expand... Ndinga za State House hizo mkuu
Bamwanasha said: Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A MFANO ST 204 A Click to expand... Ndinga za State House hizo mkuu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Dec 18, 2012 #7 Nakumbuka wakati niko Box Tu Songea tulikua na mustin kama huu wa wazi
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Dec 18, 2012 #8 Amavubi said: Nakumbuka wakati niko Box Tu Songea tulikua na mustin kama huu wa wazi Click to expand... Ulikuwa pale mwaka gani mkuu Amavubi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi said: Nakumbuka wakati niko Box Tu Songea tulikua na mustin kama huu wa wazi Click to expand... Ulikuwa pale mwaka gani mkuu Amavubi?
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,209 Dec 18, 2012 #9 Amavubi said: Nakumbuka wakati niko Box Tu Songea tulikua na mustin kama huu wa wazi Click to expand... kumbe wewe mluhila
Amavubi said: Nakumbuka wakati niko Box Tu Songea tulikua na mustin kama huu wa wazi Click to expand... kumbe wewe mluhila