Serikali sikivu katika rushwa na wizi
Mmeambiwa wekezeni katika kuuza juice, au hujasikia!?Ni serikali dhalimu na ya kijinga
View attachment 118511 View attachment 118512 View attachment 118513
Muuaji naye lazima atauawa tu,jiandae mkuu.wanaharamu kabisa ccm ni wakutia kiberiti inauma sana ....
Ndio walipotufikisha na bado tunadanganywa kuwa serikali yetu ni sikivu wakati watoto wetu wanataabika mashuleni. Huku vigogo wachache wakiyalalia mabilioni (ndio magodoro yao) na kutudanganya kuwa tumejenga shule kila kona ya nchi. Si bora uwe na shule kumi Tanzania nzima lakini zikawa na huduma zote muhimu kuliko kuwa na 100 pasipo kuwa na huduma yoyote. Endeleeni kutuimbia serikali sikivu huku wananchi wanateseka katika nchi yao na hapa JF kuna wengine wanapiga domo utafikiri hawayaoni haya yanayofanyika.
IMG_4029.JPG (92.9 KBI)
IMG_4045.JPG (104.2 KB)
Unataka kutupoteza kwenye mada wewe tulia huko huko kama huna hoja CCM ni more than devilTafadhali usituhamishe kwenye mada, mada iliyoko sasa humu JF ni sakata la Mbowe na Mwigamba kupigana ngumi kwa kusema ukweli na uwazi. Tujikite huko kwanza.
CCM ni janga hao ni kinamama wajawazito wakijisubilia
View attachment 118515
Inasikitisha sana na wengi wao wa hao kina mama wapendwa wanao tuzaa wanatoka katika familia maskini Mungu saidia sisi
Ndio walipotufikisha na bado tunadanganywa kuwa serikali yetu ni sikivu wakati watoto wetu wanataabika mashuleni. Huku vigogo wachache wakiyalalia mabilioni (ndio magodoro yao) na kutudanganya kuwa tumejenga shule kila kona ya nchi. Si bora uwe na shule kumi Tanzania nzima lakini zikawa na huduma zote muhimu kuliko kuwa na 100 pasipo kuwa na huduma yoyote. Endeleeni kutuimbia serikali sikivu huku wananchi wanateseka katika nchi yao na hapa JF kuna wengine wanapiga domo utafikiri hawayaoni haya yanayofanyika.
IMG_4029.JPG (92.9 KBI)
IMG_4045.JPG (104.2 KB)
Mbowe si ameshikilia serikali mkononi mwake toka uhuru, kweli msalani umezungumza unategemea nini kama sio harufu mbaya inayochafua hali ya hewafedha ambazo hawa akinamama wangejengewa Wadi ya kujifungulia, Mbowe kajengea Hekalu Dubai!
JF Gold MemberArrayJoin Date : 13th October 2013Posts : 511Rep Power : 405Likes Received80Likes Given215you are still too juniorHuna shukrani wewe, ingekuwa sio serikali ya CCM, ungepata wapi fursa ya kukaa na kuandika upuuzi huu mtandaoni? waulize jirani zako wasomali! wanaokimbia nchi yao kila siku. unadhani wanapenda kujazana kwenye malori yenye mizigo kama chokaa wakiwa wanakimbia nchini kwao? unadhani ni rahisi mtu kukimbia nchi yake aliyozaliwa? Hizi kasoro ndogo ndogo, tusizitumie kuonyesha kuwa nchi yetu haina maendeleo, Ni upuuzi kusema serikali haijafanya chochote! Hata huko kwenye changamoto ulizozionyesha hapo kwenye picha, maendeleo yatafika tu, ni suala la muda.
JF Gold MemberArrayJoin Date : 13th October 2013Posts : 511Rep Power : 405Likes Received80Likes Given215you are still too junior
JF Gold MemberArrayJoin Date : 13th October 2013Posts : 511Rep Power : 405Likes Received80Likes Given215you are still too junior
Hiyo Id yake ya sita..