Serikali rudisheni uwanja Wa yanga tafadhali

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Ndugu serikali mmetupola uwanja wetu tuliopewa na yusuph manji kwaajili ya ujenzi Wa uwanja Wa mpira...so huo uwanja ni Wa public mmetunyang"anya kwa sababu zenu za kisiasa kwamba manji hajaendeleza hill eneo.kama ni hivyo pigeni pangA eneo la manji mtuachie eneo letu.....Simba walisaidiwa na kikwete kupata poli lao la bunju, lakini sisi wizara inatunyang"anya...au ndo tuite mfumosimba upo kazini sasa?!
 
Vita ya Panzi Furaha ya Kunguru,
Simba Oyeeeeeeeeeeeeeee
 
Achana na kule Geza Ulole. Endelezeni pale Jangwani, pigeni chini biashara ya kufuga samaki haina maana kwa wakati huu.

Mpira ndo mambo yote sasa
 
Ndugu serikali mmetupola uwanja wetu tuliopewa na yusuph manji kwaajili ya ujenzi Wa uwanja Wa mpira...so huo uwanja ni Wa public mmetunyang"anya kwa sababu zenu za kisiasa kwamba manji hajaendeleza hill eneo.kama ni hivyo pigeni pangA eneo la manji mtuachie eneo letu.....Simba walisaidiwa na kikwete kupata poli lao la bunju, lakini sisi wizara inatunyang"anya...au ndo tuite mfumosimba upo kazini sasa?!
Mlinunua bei gani wekeni hati mtandaoni tuione ikiwa na jina la YANGA na sio MANJI
 
Yanga hana uwanja, janja ya jamaa kukwepa kupokwa ilijulikana. Mambo mazuri atakuwa nayo Yanga !!, tusichoshane.
 
Pale hatufugi samaki. Tunafuga vyura. Tutakapoanza kuuza ndo mtakapoona tunakuwa wa kimataifa...

Achana na kule Geza Ulole. Endelezeni pale Jangwani, pigeni chini biashara ya kufuga samaki haina maana kwa wakati huu.

Mpira ndo mambo yote sasa
 
Ndugu serikali mmetupola uwanja wetu tuliopewa na yusuph manji kwaajili ya ujenzi Wa uwanja Wa mpira...so huo uwanja ni Wa public mmetunyang"anya kwa sababu zenu za kisiasa kwamba manji hajaendeleza hill eneo.kama ni hivyo pigeni pangA eneo la manji mtuachie eneo letu.....Simba walisaidiwa na kikwete kupata poli lao la bunju, lakini sisi wizara inatunyang"anya...au ndo tuite mfumosimba upo kazini sasa?!
Mkuu ule Uwanja Manji aliwapatia Watu waitwao YANGA YETU. na Sio Dar Your African Club.. so hiyo Yanga Yetu kiongozi wake na Mmiliki ni Manji Mwenyewe... so MAtopetope hamna chenu pale... unataqka uwanja Hati unayo?
 
Back
Top Bottom