We utakuwa Mlevi mkuu umepinga Hoja directSukari nayo ina magonjwa kibao tu
but huja explain mpaka ufikie hapo ni kuwa umeitumia over excessivelySukari haifai,
Sukari inasababisha magonjwa,Ukiugua kisukari
1. Utapoteza Nguvu za kiume
2. Utakaribisha shinikizo la damu.
Mshauri wao mkuu ni Chalamila na MakalaLakini ajabu tunapunguza kodi kwenye Pombe. Yaani Watanzania waongeze bidii ya kukewa...mnataka kujenga Taifa la aina gani.?
Yaani mkitaka mdahalo wa wazi na sisi wanywa pombe, tutashinda mapema sana. Bora mtuache!Sukari ni kiungo mhimu kabisa kwenye maisha ya Mtanzania, haijalishi matajiri au maskini lazima atumie sukari.
Binadamu woote bila kujali mzima ama mgonjwa lazima atatumia sukari...
Wasituzoee aisee tumewavumilia sanaYaani mkitaka mdahalo wa wazi na sisi wanywa pombe, tutashinda mapema sana. Bora mtuache!
Kwa maradhi uliyoorodhesha hapo moja kwa moja n maradhi almaarufu kwa matajiri na sio watu wa hali ya chini/kati,,,, N heri serikali iangalie uwezekano wa kupunguza kodi kwenye sukari ila sio kwenye pombe......Unless otherwise wananchi wataendeleza biashara za magendo tuSukari haifai,
Sukari inasababisha magonjwa,Ukiugua kisukari
1. Utapoteza Nguvu za kiume
2. Utakaribisha shinikizo la damu
3. Unaweza kupofuka
4. Ukipata kidonda huponi
5. Ukimbukizwa Corona umekwisha
Hayo yote huwezi kuyapata Kwenye pombe.
TUSIPOTOSHANE, Acha wanywe bia[emoji2]
View attachment 1818870
Yaani watuache kabisaaaaa! Mimi hapa nimeishadondosha K Vant ya 10,000/ peke yangu ndani ya lisaa limoja halafu unilinganishe na watu ishirini wanaotumia nusu kilo ya sukari ya sh. 1,200/?Wasituzoee aisee tumewavumilia sana
Watuache na pombe zetu, tukijilewea tunahitaji supu na mtori kiungo chumvi tu nashangaa watu wanahangaika na sukari ili iwe nini?Kwa maradhi uliyoorodhesha hapo moja kwa moja n maradhi almaarufu kwa matajiri na sio watu wa hali ya chini/kati,,,, N heri serikali iangalie uwezekano wa kupunguza kodi kwenye sukari ila sio kwenye pombe......Unless otherwise wananchi wataendeleza biashara za magendo tu
Pombe nayo kinywaji tafadhali tafuta chanzo kingine cha mapato! Pombe achana nayo kwani mchango wake kwa uchumi wa nchi hii haina mfano!Sukari ni kiungo mhimu kabisa kwenye maisha ya Mtanzania, haijalishi matajiri au maskini lazima atumie sukari.
Binadamu woote bila kujali mzima ama mgonjwa lazima atatumia sukari...
Angalia nawasiotumia pombe hususan kweny familiaWatuache na pombe zetu, tukijilewea tunahitaji supu na mtori kiungo chumvi tu nashangaa watu wanahangaika na sukari ili iwe nini?