Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,276
- Thread starter
-
- #21
baada ya viroba,mifuko ya Rambo na sasa tena pombe!
au ulimaanisha pombemtu
Unapoangalia wanaonunua fikiria na wanaouza....
Thank me later
Tutawapataje ma barmaid kama si pombe
Sijui hata nikutukane tusi gani...
Kwani unadhani Serikali haijui ikipiga marufuku za viwandani kuna za kienyeji ambazo hazidhibitiki? Kwanza hebu niambie mlevi gani kakuudhi ili jioni tumjadili kwenye kikao cha dharura?
Mkuu sijakusoma vizuri unaongelea pombe kinywaji au pombe mtu?