Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,276
unajua serikali inaingiza kiasi gani kuhusu makampuni ya pombe
Mojawapo ya chanzo kikuu ya mapato ya serikali ni pombe na sigara.
Je una vyanzo mbadala baada ya kukataza pombe? Au unataka wakakusanye kodi kanisani na misikitini???....
hapana ingekua na madhara makubwa kuliko faida ingeshapigwa marufukuNajua....Ila madhara yake ni makubwa kuliko faida
Nchi hii ni tajiri" na utajiri sio kwa pombe....
Usikute wewe ni maskini wa kutupwa