mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Ni ushauri tu serikali ufanye mipango yake iwe ina kulipa pesa katikati ya mwezi by fifteenth.
Ama kama itaongeza salary hivi karibuni uanze kuzilipa katikati ya mwezi ule wa mwisho wa mwezi ubakie vile vile ili bodi na kodi visimkomoe utumishi.
Hii ni serikali sikivu
Ama kama itaongeza salary hivi karibuni uanze kuzilipa katikati ya mwezi ule wa mwisho wa mwezi ubakie vile vile ili bodi na kodi visimkomoe utumishi.
Hii ni serikali sikivu