Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,032
- 63,174
Vipi zimekwama?
Zimewekwa pembeni na trafiki wa anga, ngoja zilipe faini kwanza ziachiwe!
Vipi zimekwama?
Itapendeza kama zitakuja, ila zisije kufanya kazi ya daladala kama dreamliner au zisije ku-park pale JNIA!Vipi zimekwama?
Zimekwama kwenye foleni katika anga ya PacificVipi zimekwama?
Hahaaahaah hutaki wawekee hapa hapa Bongo ili Viwanda vya ndani na wataalam wapate ajira?Nashauri ziwekwe WiFi huko huko
Hahahahaa kwanini Mkuu?Wachawi wa bongo nyoko sana