Serikali na woga kwa mfuko wa vyombo vya habari

Kamanda

Senior Member
Dec 5, 2007
150
176
WanaJF,
Nimeisoma hii hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamadani na Michezo na kugundua woga mkubwa wa serikali kwa vyombo vya habari. Hebu isome mstari kwa mstari na utakubaliana na mimi.
Aliitoa juzi kwenye kongamano la wadau wa habari lililoandaliwa na Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF).
Ilisomwa na Naibu wa zizara hiyo, Dk. Fenella Mukangara.
 

Attachments

  • HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI.docx
    22 KB · Views: 82
Back
Top Bottom