Serikali na vyombo vyake vya usalama walipe fidia

Hata wakati wa bomu ubalozi wa Marekani ni polisi ndiyo walituzuie tusikaribie eneo la tukio.
 
nyie mnaosema kwa nini wamechota mafuta wakati ni danger...hivi mnajua kwa nini watu wanavuta sigara ilihali inasababisha kansa na saa nyingine ukinunua Pakti ya sigara inakuambia kabisa ni Danger na mtu anavuta vile vile..?! Au mtu anajua kuna ukimwi na bado hatumii kinga...you have to understand sometimes human beings think irrational..its called cognitive dissonance...
 
MUNGU alikupa akili za nini?wewe unashindwa hata na mnyama?huwezi ukajua kuwa hiki kitu ni hatari mpaka waje polisi kukwambia au kukusimamia kama ng'ombe? nani ambaye hajui kuwa petrol inauwa?hatukatai kuwa polisi nijukumu lao kuhakikisha usalama wetu,lakini kuna mambo ambayo wewe mwenyewe unatakiwa ujiongeze na uchukue hatua bila kusubiri polisi,nisawa na uko nyumbani kwako unaona nyumba yako inaanza kuungua moto alafu wewe hufanyi jitihada zozote za kuuzima eti unasubiri zimamoto waje kuuzima.
 
Mpuuzi. Kuna kitu kinaitwa "personal responsibility". That's where the buck stops.
 
Hii kweli thread ya mwana ccm, stupidity never ends
 
unaruka sana, thread yangu haizungumzii polisi kuzuia watu kuiba mafuta bali kufika eneo la ajali ya barabarani kama wajibu wao.
 
This is stupidity of the highest order!Walioteketea na moto familia zao zishitakiwe kwa kusababisha mauaji kwa kuwa na watoto wajinga wasiosikia ya wazazi wao pamoja na Serikali.
Picha za video zipo.Wanaochota mafuta wanaonekana wazi.Polisi iwakamate iwashitaki kwa makosa yafuatayo la kwanza la wizi wa mafuta la pili.kosa la mauaji kea kuwasha Moto ulioua watu na la kusababisha uharibifu wa Mali kwa kuteketeza Lori na Mali zingine.Wakidakwa na kufunguliwa mashtaka tabia ya kupora gari zinazopata ajali zitapungua
 
Waziri mkuu kuunda tume kubaini nani hakuwajibika, sisi tuliliona hili, akili ndogo wakaja na matusi
 
Why polisi hawakwenda kuzuia Ualifu wa kuiba mafuta?????
Hata Mimi ningekuwa Polisi na ninauwezo wa kuzuia ningeacha wezi wauungue tu,labda nikijiridhisha anayeungua alikuwapita njia tu, ila kwa mwizi kwa nini nimuokoe harafu kesho anisumbue tena kwa kwenda kuiba vya watu,?bora hawakwenda kabisa
 
Naona tupo kwenye different track! Akili yako ikishakaa kwenye usiasa hata ueleweshwe vp huwezi kuelewa. Bakieni kwenye siasa zenu. Ndg zetu wameshakufa! R.I.P
Huyo anang'ang'ania vikao vya chadema kwa sababu katibu wa chadema ni miongoni mwa wezi wa mafuta aliyejikaanga kwa petrol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…