Ila ingekuwa kwenye mkutano wa chadema hizo dakika kumi ni nyingi wangeshafika na kusambaratisha watu ila kwa kulinda raia wasidhurike ambalo ndio jukumu la kazi zao hawatokeiHili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
bima itamfidia mwenye lorry au hao walioenda kujiua wenyewe(acha wale wapita njia)?Bima itafidia mkuu jeshi la polisi ni maskini sana hawaliwezi hili ni zito sana kwao
Nakufundisha wew usio tambua majukumu yako kabla vyombo vya usalama havija fika unatakiwa kufanya Nini eneo la tukio wale wamekwenda wenyewe polis haikuwatuma hata mara moja wao walitakiwa waache kama lilivyo wao wakawah kuchota mafuta waliagizwa na polis???? Na Alie enda kuchomoa betr aliagizwa na polisi???? Kwa upeo wa akili yako hata mkeo kugongwa na jirani yako ni haki yako.kazi ya polisi ni nini wewe mwenye upeo mkubwa? Ikitokea ajali polisi inatakiwa wafanye nini? Acha bangi dogo
Ngoja tuone kama una balls za kuvumilia mishale utakayopigwa kwenye hii threadpolisi walikua wapi baada ya ajali kutokea? Ni wajibu wa polisi kwenda eneo la ajali, au wewe unaishi ambako hakuna vyombo vya moto?
Elimu siku zote inatolewa. Unapoona gari ya mafuta imepata ajali kaambali nayo, na hili pia ni jukumu la police kutoa elimu kwa raia wake lakini tumekuwa wagumu wa kuelewa sijui ni kwa sababu ya hali ngumu au vp? Kumbuka ajali ya mbeya!....bado hatujajifunza? Kwann ufanye kitu ambacho ni hatari halafu bado unategemea police akuwahi kukuokoa? Usalama siku zote unaanzia kwako an then ndio unafuata kwa police. Kuna watu hapo walikuwa wakirecord tukio zima mpaka watu wanavyoungua(inasikitisha sana) je hao walishindwa kutoa msaada walikua wanasubiria police waje?tunailaumu kuchelewa kufika kwenye tukio
Why polisi hawakwenda kuzuia Ualifu wa kuiba mafuta?????Elimu siku zote inatolewa. Unapoona gari ya mafuta imepata ajali kaambali nayo, na hili pia ni jukumu la police kutoa elimu kwa raia wake lakini tumekuwa wagumu wa kuelewa sijui ni kwa sababu ya hali ngumu au vp? Kumbuka ajali ya mbeya!....bado hatujajifunza? Kwann ufanye kitu ambacho ni hatari halafu bado unategemea police akuwahi kukuokoa? Usalama siku zote unaanzia kwako an then ndio unafuata kwa police. Kuna watu hapo walikuwa wakirecord tukio zima mpaka watu wanavyoungua(inasikitisha sana) je hao walishindwa kutoa msaada walikua wanasubiria police waje?
Tuelewe tu wabongo tuna tabu sana hasa kwenye kuepukana na matukio kama haya mwisho wa siku tunailaumu serikali. We unamwona mtu anagalagala huku anaungua moto unachukua video halafu baadae unalalamika police kuchelewa eneo la tukio? Hii ni hatari sana....
True watu hawasikii nimeshangazwa na wale wanawake waliokuwa nao wanachota mafuta na sidhani kama hata angepata dumu yangeweza kumlipa hata 20 ila ni tamaa na roho iliyochanganyikana na unyama ndani yake mwenzako kapata ajari badala umuokoe unaenda kuchota mafutaUsalama wako kwanza ni muhimu,nina imani watu wapo humu wa afya na usalama.Lakini haihitaji kwenda shule kujua usalama ninini.Ajali imetokea,keep distance as far as your legs can take you,hasa kwa mafuta.Hii sio mara ya kwanza kutokea na kuelimishaa pamoja na kukatazwa kusogelea lori la mafuta.Ilitokea singida maybe you were in Germany with Adolf Hitler or in Italy with Benito Mussolini.It happened and people died.We learnt from that.Kwa nini ijirudie.Ni bora askari wetu hawakuenda kufukuzana na hawa wasiosikia,tungewapoteza au idadi ingekuewa kubwa zaidi!Wale wakina mama wanachota ya kazi gani?Nimewahi kushuhudia pale Karume gari la mafuta limetokea huku upande wa kigogo round about,limepaki kusubiri mataa ya ruhusu hamad vijana wawili wakaenda na mifuko ya nylon wakafungua koki wakawa wanataka kuchota mafuta.Lucky enough hayakuwemo?Can you imagine karume palivyo jioni,mtu apite na sigara karibu na yule anayechota.Kuna wauza mahindi pale wana majiko ya mkaa,Dereva alikuwa amepaki anasubiri mataa yamruhusu he had nothing to do.Do you think wale vijana hata kwa maafa haya ya leo wataacha?Sisi hatujali uslama wetu.Wakikamatwa wakipelekwa mahakamani utasema wameonewa!
😀 😀 mna maswali ya ajabu kweli.Why polisi hawakwenda kuzuia Ualifu wa kuiba mafuta?????
Mbona taarifa za vikao vya Ndani za vyama pinzani wanazipata mapema na kutinga na Mabunduki???? Suala la kuzuia ualifu haliitaji kujiuliza why mhalifu analifanyaa...😀 😀 mna maswali ya ajabu kweli.
Why na wao wakaibe mafuta kwenye gari iliyopata ajali na walishaambiwa ni hatari?
Naona tupo kwenye different track! Akili yako ikishakaa kwenye usiasa hata ueleweshwe vp huwezi kuelewa. Bakieni kwenye siasa zenu. Ndg zetu wameshakufa! R.I.PMbona taarifa za vikao vya Ndani za vyama pinzani wanazipata mapema na kutinga na Mabunduki???? Suala la kuzuia ualifu haliitaji kujiuliza why mhalifu analifanyaa...
Eeeh sio wawe waadilifu kwenye kutimiza masuala ya kisiasa tu na kujidai wanalinda maslahi ya wananchi akati hapa Ni mjini kabisa wameshindwa kwenda kutimiza wajibu wao shame shame..[emoji48][emoji48][emoji48]Naona tupo kwenye different track! Akili yako ikishakaa kwenye usiasa hata ueleweshwe vp huwezi kuelewa. Bakieni kwenye siasa zenu. Ndg zetu wameshakufa! R.I.P
Hili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
wewe si hua unaona polisi wnachora chora baada ya ajali? Walikua wapi wakati wa hii ajali kuchora chora? Achilia mbali kulinda watu wasiibe, ilitakiwa wawepo kuangalia chanzo cha ajali na taratibu za kiusalama. Tukio lile si la chini ya dk 30 mpaka pamelipuka huo muda wote walikua wapi? Hapo kuna uzembe wa makusudi na kuna watu wamedhurika kwa uzembe huu, kuna ambao hata muda na mafuta hawakua nao lakini ni barabara kuu basi wameumia. Achana na wizi, tuzungumzie wajibu wa polisi wakati wa ajaliKwani hao wananchi hawakujua wanachofanya ni kuvunja sheria? Kuna mambo nashindwa kuelewa kabisa. Mbona hatupendi kuwa responsible kwa yale tunayofanya pamoja na matokeo yake?
Hao waliohusika walikosea sana kuchukua mali wasiyoimiliki
Polisi wakimbilie hapo wakati si tukio la ccm.Hili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
wewe si hua unaona polisi wnachora chora baada ya ajali? Walikua wapi wakati wa hii ajali kuchora chora? Achilia mbali kulinda watu wasiibe, ilitakiwa wawepo kuangalia chanzo cha ajali na taratibu za kiusalama. Tukio lile si la chini ya dk 30 mpaka pamelipuka huo muda wote walikua wapi? Hapo kuna uzembe wa makusudi na kuna watu wamedhurika kwa uzembe huu, kuna ambao hata muda na mafuta hawakua nao lakini ni barabara kuu basi wameumia. Achana na wizi, tuzungumzie wajibu wa polisi wakati wa ajali