Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 819
polisi walikua wapi baada ya ajali kutokea? Ni wajibu wa polisi kwenda eneo la ajali, au wewe unaishi ambako hakuna vyombo vya moto?Acha ujinga, kwani polisi ndo waliowaambia raia wakapakue mafuta?
bora polisi hawakwenda? Hamna la kujifunza hapaUsalama wako kwanza ni muhimu,nina imani watu wapo humu wa afya na usalama.Lakini haihitaji kwenda shule kujua usalama ninini.Ajali imetokea,keep distance as far as your legs can take you,hasa kwa mafuta.Hii sio mara ya kwanza kutokea na kuelimishaa pamoja na kukatazwa kusogelea lori la mafuta.Ilitokea singida maybe you were in Germany with Adolf Hitler or in Italy with Benito Mussolini.It happened and people died.We learnt from that.Kwa nini ijirudie.Ni bora askari wetu hawakuenda kufukuzana na hawa wasiosikia,tungewapoteza au idadi ingekuewa kubwa zaidi!Wale wakina mama wanachota ya kazi gani?Nimewahi kushuhudia pale Karume gari la mafuta limetokea huku upande wa kigogo round about,limepaki kusubiri mataa ya ruhusu hamad vijana wawili wakaenda na mifuko ya nylon wakafungua koki wakawa wanataka kuchota mafuta.Lucky enough hayakuwemo?Can you imagine karume palivyo jioni,mtu apite na sigara karibu na yule anayechota.Kuna wauza mahindi pale wana majiko ya mkaa,Dereva alikuwa amepaki anasubiri mataa yamruhusu he had nothing to do.Do you think wale vijana hata kwa maafa haya ya leo wataacha?Sisi hatujali uslama wetu.Wakikamatwa wakipelekwa mahakamani utasema wameonewa!
Nasema tena Bora.Imagine tatizo lile lingetokea ambapo polisi wako mbali.Maybe itawachukua nusu saa kufika,It's us to take care of ourselves!TUSISOGELEE GARI LA MAFUTA IKITOKEA AJALI.TUACHE KUPENDA MITEREMKO KWA VITU HATARISHI.bora polisi hawakwenda? Hamna la kujifunza hapa
well this is shallow and random, jifunze majukumu ya askari kabla ya kudhalilisha fikra zako. Polisi wanajikimu kupitia kodi za wananchi kwa kazi ya usalama wa hao wananchi. Sehemu ambayo polisi anawajibika kuwepo halafu hayupo, kutokuwepo kwake kukasababisha kifo cha mpita njia, kodi ya mpita njia imeliwa bure mpaka kifo chake. Wewe unakubali kulipia huduma hewa? Tukwambie ulipe sh 100 halafu usipate kile unacholipia, utakubali? Polisi haibembelezwi kulinda watu, ni jukumu lao la kimkataba na serikali ya watu. Au unafikiri polisi wanajikimu kwa hela za msaada ya wahisani? Kodi zetu zile hasa VAT ambayo kila mtanzania analipa. Ni wajibu wao kutulinda, eneo lile walipaswa kuwepo.Nasema tena Bora.Imagine tatizo lile lingetokea ambapo polisi wako mbali.Maybe itawachukua nusu saa kufika,It's us to take care of ourselves!TUSISOGELEE GARI LA MAFUTA IKITOKEA AJALI.TUACHE KUPENDA MITEREMKO KWA VITU HATARISHI.
Nakubaliana na wewe kwamba polisi wapo kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao. Wanalipwa kwa kodi zetu kutekeleza wajibu huo, ni kazi yao. Lakini si kila hatari ya maisha ya mtu yaweza kukabiliwa na Polisi. Mwokozi wa kwanza wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Wewe unataka kujinyonga, unachukua kamba unafunga juu ya mti, unajinyonga unakufa. Bado tuwalaumu Polisi kwa kutolinda maisha yako!!?well this is shallow and random, jifunze majukumu ya askari kabla ya kudhalilisha fikra zako. Polisi wanajikimu kupitia kodi za wananchi kwa kazi ya usalama wa hao wananchi. Sehemu ambayo polisi anawajibika kuwepo halafu hayupo, kutokuwepo kwake kukasababisha kifo cha mpita njia, kodi ya mpita njia imeliwa bure mpaka kifo chake. Wewe unakubali kulipia huduma hewa? Tukwambie ulipe sh 100 halafu usipate kile unacholipia, utakubali? Polisi haibembelezwi kulinda watu, ni jukumu lao la kimkataba na serikali ya watu. Au unafikiri polisi wanajikimu kwa hela za msaada ya wahisani? Kodi zetu zile hasa VAT ambayo kila mtanzania analipa. Ni wajibu wao kutulinda, eneo lile walipaswa kuwepo.
yani kwa kusema hivo maana yake binadamu wote wana upeo unaofanana, kuna watu wanaumwa magonjwa ya akili ye akiona gari la mafuta limedondoka anataka kwenda kuchota mafuta, kwa kufanya vile anawahatarisha wasiochota lakini ni wakazi wa eneo lile, kuna ARSONISTS wenyewe wanapenda tu kusababisha maafa ya moto. Polisi wangeweza kuzia hawa kama wangekuepo. Binadamu wanatofautiana sana na haiwezekani wakafuata utaratibu mmoja, tupo tofauti kama ambavyo Mimi nimekuzidi wewe akili.Una upeo mdogo sana najisumbua kujadiliana na wewe!Usalama unaanzia wewe mwenyewe kabla ya polisi!Mbona ukienda kazini huachi mlango wazi unafunga na kufuli ,mageti, makomeo ,ya nini?na polisi wapo ni kazi yao?
Kati ya waliokufa kuna watoto waliokuwa wakicheza kidari poh kuzunguka lori au ni watu wazima walioamua KUIBA MAFUTA HUKU WAKIJUA MAFUTA SIO MAJI?this is what they call right wing extremism, no compassion here. But didn't ask for any either. Mawazo kama haya ndio yaliompa madaraka Hitler. Vyombo vya usalama vilikua wapi dk 5 za kwanza baada ya ajali?
taarifa ya polisi inasema mtoto mmoja amefarikiKati ya waliokufa kuna watoto waliokuwa wakicheza kidari poh kuzunguka lori au ni watu wazima walioamua KUIBA MAFUTA HUKU WAKIJUA MAFUTA SIO MAJI?
ungeanza kwa mfano ukapita bila kuandika chochoteSio kila unalowaza lazima uandike humu. Mengine maliza kwenye vijiwe vyenu bhangi huko ingetosha tuu.
RIP....inawezekana kabisa alipelekwa hapo na mzazi wake wakati anaenda KUIBA MAFUTAtaarifa ya polisi inasema mtoto mmoja amefariki
hapa panatoshaNenda kwa mkuu wa mkoa au wa wilaya kadai fidia!
this is what they call right wing extremism, no compassion here. But didn't ask for any either. Mawazo kama haya ndio yaliompa madaraka Hitler. Vyombo vya usalama vilikua wapi dk 5 za kwanza baada ya ajali?
We mjinga sana. Yaani hao walioenda kuiba mafuta hawajui kama mafuta ni hatari, hawajui kama sheria za nchi mtu hatakiwi kuiba. Waafrika matatizo yao ndio hayo, ukiwaambia jwa ndomo hawaelewi mpaka uwafuatilie kama watoto wadogoHili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.