Serikali na mishahara ya Septemba 2011

Wa2 hatujapata mishahara mpk leo acheni kuitetea serikal wkt ni kwel wa2 kila cku wapo kwny ATM kama nyie mmepata ni wale walamba miguu ya magamba
Magamba ndiyo yanayolipa mishahara? tofautisheni utendaji na siasa.
 
Acha uhuni na wewe na kuudanganya umma, labda mmepewa ninyi makada wao, lakini sisi hatujapewa mpaka sasa
 
Acha uhuni na wewe na kuudanganya umma, labda mmepewa ninyi makada wao, lakini sisi hatujapewa mpaka sasa

Kama ajira yako iko CDM na si Serikalini utalipwaje mshahara. We ndio unadanganya umma.
 
Acheni uzushi,mishahara 2mepata my b kama wewe ni diwan
 

Mwakaboko unamuonea Apta ama hujasoma vizuri thread ya Sambega. Amenza kwa kusema hakuna mtumishi yeyote wa serikali kuu ama serikali za mitaa aliyelipwa. Apta kasema yeye kalipwa tayari we unabisha kwani haitokei baadhi ya Idara mishahara kuwahi kutoka? Ukweli ni kwamba mishahara imechelewa lakini pia kuna baadhi ya Idara wameanza kupokea rafiki yangu yupo halmashauri ya Lushoto amepata toka juzi. Msilazimishe wote waonekane hawalipwa!!
 
mshahara wa serikali haujatoka jamani msitetee kila ujinga,kuna mshikaji wangu tulikuwa nae jana usiku sana kaenda ATM hola,alafu alikuwa anataka aendeleze bata mpaka asubuhi ikabidi tukalale tu

Jamani sisi Halmashauri yetu imeshatulipa!

Mbona mishahara yote inatoka hazina kulekule? Angalieni labda hapo kwenu wanawachakachua!

Sisi wengine karibia tunakamaliza ka-mshahara kao na hivi kalivyo kiduchu! Mishahara ilishatoka wakuu!
 
Mpka sasa ac yangu haijasoma ndg zang mliopata japo kwa kuchelewa hongeren. Ila nimepata matumain kuwa soon itasoma coz imeanza kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…