Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.
Hivi kwani mkopo ni guaranteed kwamba ukikosa ulalamike?bodi imepokea ma wao,sasa ulitaka ikupe wewe imnyime nani?tukubali matokeo,aliepata kapata,na aliekosa kakosa,maisha yanasonga,kulalamika ni kupoteza muda