Arsenalist
Member
- Oct 4, 2013
- 74
- 46
kimsingi inabidi watupatie walau hela ya chakula tu...huko chuo maana ada mtu unaweza kujipinda kulipa...au waweke wazi vigezo wanavohitaji na wale ambao hawakidhi vigezo hivo system iwakatae online ili wasiwe na tumaini hewa kama wanalokuwa nao vijana wengi.......kimsingi kama tunataka vijana wafaulu vizuri mikopo itolewe kwa usawa kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu

kweli bora wangehakikisha kila mwanafunzi anawata atleast 0% kuliko kuwapa wengne 100% wakat wengne wanakosa kabisa! Ingawa nimepata mkopo but inaniuma kuona wenzangu wamekosa! Poleni sana ndugu zanguni!
asante kwa kuwasilisha,pole sanaWanasaidia wanafunzi wasiojiweza:
1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini.
2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS)
3. Mtanzania maskini kasafiri kwenda kuipata huduma ya EMS napo ni gharama ya usafiri haijarishi unatoka umbali gani.
4. Mtanzania kaprint na kununua stationary zote zihusianazo na utumaji huo.
5. Mtanzania maskini kakosa mkopo japo kagharimishwa yote hapo juu.
Suluhisho:
1. Kama uwezo wa kusomesha ni mdogo kwa nini system isigundue kuwa idadi imefikiwa hivo izikatae 30,000 za wanaokuwa wamezidi?
2. Kama ndivyo kwanini watu wasitume maombi kwa mtandao wa internet au simu then hizi gharama za 30,000 na zinginezo zikakatwa kwenye ile pesa atakayopewa kama mkopo kwa wale walopata?
3. Kwanini tusigawiwe kidogokidogo?
Hitimisho;
1. Sasa inauma gharama zote za mkopo nimegharimia huku sijapata hata senti tano. yaani hata ile senti moja. System inadisplay not secured.
2. Kweli bil 306 zimeisha bila mlipa kodi mhitaji kupata hata senti moja?
3. Unadhani ni lini ntaipenda nchi yangu?
NAWAKILISHA
very very bad,najisikia vibaya sana kwa hili ambalo serikali inatutendea hata pesa ya chakula tu jamani tutaishi vipi huko chuo!!! future zetu zinaenda mrama wallah!! inauma sana
Wanasaidia wanafunzi wasiojiweza:
1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini.
2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS)
3. Mtanzania maskini kasafiri kwenda kuipata huduma ya EMS napo ni gharama ya usafiri haijarishi unatoka umbali gani.
4. Mtanzania kaprint na kununua stationary zote zihusianazo na utumaji huo.
5. Mtanzania maskini kakosa mkopo japo kagharimishwa yote hapo juu.
Suluhisho:
1. Kama uwezo wa kusomesha ni mdogo kwa nini system isigundue kuwa idadi imefikiwa hivo izikatae 30,000 za wanaokuwa wamezidi?
2. Kama ndivyo kwanini watu wasitume maombi kwa mtandao wa internet au simu then hizi gharama za 30,000 na zinginezo zikakatwa kwenye ile pesa atakayopewa kama mkopo kwa wale walopata?
3. Kwanini tusigawiwe kidogokidogo?
Hitimisho;
1. Sasa inauma gharama zote za mkopo nimegharimia huku sijapata hata senti tano. yaani hata ile senti moja. System inadisplay not secured.
2. Kweli bil 306 zimeisha bila mlipa kodi mhitaji kupata hata senti moja?
3. Unadhani ni lini ntaipenda nchi yangu?
NAWAKILISHA
Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.
Maofisa wanavitambi vya fedha za bodi ya mikopo ,hivi ni vitambi vya dhambi...