Sasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki maofsini,
Kama darasa la Saba wamewaondoa sasa ni muda wa kubaki na division one tu ili wale wanaohubiri wenzao kulima wakalime wao
Mfano serikali ikuchukua kilaza kama wewe unaeona kilimo ni cha watu waliofeli ikakuweka ofisini sasa itakua imefanya nini kwa mfano hata kama umepata divisheni wani?Sasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki maofsini,
Kama darasa la Saba wamewaondoa sasa ni muda wa kubaki na division one tu ili wale wanaohubiri wenzao kulima wakalime wao
Hata kuna darasa la Saba wapo vizuri kuliko form six lakini wameondolewa ni muda wa kubaki na division one pekee tu, Hapa kampeni inabidi ianze, Wewe kama huna division one mjiandae, kwa tatizo hili la ajira ni kuweka vigezo vigumuKwa taarifa yako wengi wenye division one hasa za shule za private wengi wao zaidi ya 60% ni Mabashite.
Division one siyo kigezo cha ueledi kazini. Sisi tumetoka shule za Kata na division three zetu huko vyuoni tumewabuluza sana kwa GPA hao division one wako.
Pole kwa kujipigia debe na division one yako ya kuibia paper za ndalichako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sister, uko na div.3 hahahahaKuwa na Division one sio kigezo cha utendaji KAZI mzuri.
Watendaji kazi wazuri kwa uweledi ni Watu wenye uwezo wa akili wa kati ( Division two na three).
Division one ni bookworms tu.
Utasubiri sanaaaHata kuna darasa la Saba wapo vizuri kuliko form six lakini wameondolewa ni muda wa kubaki na division one pekee tu, Hapa kampeni inabidi ianze, Wewe kama huna division one mjiandae, kwa tatizo hili la ajira ni kuweka vigezo vigumu
Chuo uko na GPA ya ngapi, na chuo gani ulisomaSasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki maofsini,
Kama darasa la Saba wamewaondoa sasa ni muda wa kubaki na division one tu ili wale wanaohubiri wenzao kulima wakalime wao
Nendeni nanyi mkalime wenzenu darasa la Saba sasa wanasoma ni muda tu utaongeaKuwa na Division one sio kigezo cha utendaji KAZI mzuri.
Watendaji kazi wazuri kwa uweledi ni Watu wenye uwezo wa akili wa kati ( Division two na three).
Division one ni bookworms tu.
Naona Sindano zimewaingia kumbe wengi humu hamna kitu kichwani ni kelele tu, Nimeweza fahamu matokeo yenu kirahisi, mnatoka povu sana ndio maisha zamu yenu inakuja mtaenda kulima mbaya zaidi una familia kubwaChuo uko na GPA ya ngapi, na chuo gani ulisoma
Lexus Mayai