Innay
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 297
- 291
Kuwahamisha kwenda Msingi
Ujumbe huu ufike Tamisemi
1. Mmedhalilisha taaluma ya Ualim.
2. Mmedharau walim wa sekondari.
3. Walimu wamehamishwa kama mizigo...hakuna makubaliano yeyote yaliyofanyika...
4. Chuki na fitna zimetamalaki uhamisho huu.. Mkuu anatoa tu watu alokuwa na chuki nao...bila kujali productivity.
5. Mtaani walimu hawa waliohamishwa wanachukuliwa kama wao ndo chanzo cha kufeli kwa watoto
6. Hakuna malipo yeyote walimu hawa wamelipwa... Kauli moja tu. Nendeni mkaanze kazi hutaki leta barua yetu ondoka hili ni agizo la Rais.
7. Hakuna training yeyote mmepanga kunoa walim hawa...!'psychological shape'
Wanaenda mazingira mapya ki mtaala...
8.
9.
10.
Kwa ukatili huu juu ya walimu..msitarajie matokeo.