Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Kono la chuma liko kila kona, hawajakuambia mtungi wa gesi ni shilingi ngapi na unaweza kuutembelea kwa mwendo gani kabla ya kuurudisha na kujaza mwingine. Je ukienda makambako na gari yako utapata pakujazia gesi au ni Dar tu?Hivi kila mtu akibadili mfumo wa mafuta wa gari lake, kutoka ule wa mafuta na kusimika wa gesi , ambao TPDC wamekuwa wakiinadi teknolojia hiyo kwa milioni moja tu, je hawa wafanyabiashara wa mafuta watamringia nani?
unatumia mtungi wako wa kilo 30, kama wa nyumbani. Pia mfumo wa mafuta hauondolewi, ila wanachofanya wao wanaweka shift button. wewe unakuwa na option ya kutumia mafuta au gesiKono la chuma liko kila kona, hawajakuambia mtungi wa gesi ni shilingi ngapi na unaweza kuutembelea kwa mwendo gani kabla ya kuurudisha na kujaza mwingine. Je ukienda makambako na gari yako utapata pakujazia gesi au ni Dar tu?