Serikali mbili hazikwepeki, Bwana Ismail Jussa upo?
Zanzibar huru yenye mamlaka kamili ni jambo la hatari, Inchi ya Zanzibar imekaa kama eneo la kimbinu (Strategic point), kuiachia Zanzibar ijitawale ni sawa kabisa na wabara kujitoa mhanga maana itakuwa hatari sana kwao kama ilivyoanza kuwa hatari sasa, matukio ya hivi karibuni ya Mapadri kupigwa risasi au kumwagiwa tindikali ni viashiria tu vya hatari hizo.
Kuna ushahidi wa kimazingira unaoonyesha hatari hizo zitapunguzwa kwa kiasi Fulani au hazitakuwepo tu kwa uwepo wa muungano, na hatari hizo zitapungua zaidi kwa uwepo muungano ulio imala, serikali ya Bwana Kikwete imefanya makosa makubwa kuacha inchi ya Zanzibar kuandika katiba yoa, hii ni sawa na kuweka ufa mkubwa sana ndani ya muungano.
kwa manufaa ya iliyokuwa Tanganyika inafaa muungano uimarishwe zaidi hata ikibidi kuwe na serikali moja tu yenye nguvu huko mbeleni. Kama Israel inavyoona kuwa haiwezekeni kuiachia milima ya kimbinu ya GOLANI, hivyo hivyo ni haiwezekani kuiachia Zanzibar ijitenge kwani bara itapata shida sana kama Kenya ilivyoanza kupata shida sasa zidi ya wasomali, wasomali wanavyofanya kwa Kenya ndiyo hivyo hivyo watu wabaya watakavyoifanyia Tanzania bara kupitia Zanzibar.
Ni ukweli usiopingika kwamba Zanzibar ikiwa huru basi itakuwa ndio mwisho wa makanisa huko visiwani na utakuwa mwanzo wa mambo mengine maovu ambayo sitaweza kuyasema hapa. Hivyo wanainchi wenzangu maeneo yote ya KIMBINU, maeneo yote ya ki-mkakati huwa hayaachiwagi hivi hivi kimasihala ni lazima kupigania mpaka tone la mwisho la damu limemwamwagike ndio huwa kuna ku-surrender.
Natoa wito UKAWA warudi kwenye bunge la katiba watetee serikali mbili ili tuendelee kuwepo japo kwa manyanyaso, sasa kero za muungano zilizopo ni nusu shari muungano ukivunjika itakuwa shari kamili.