phoncechili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 204
- 130
Wengine ni mafundi tangu vyuo havijaanza yaani vipaji tu. Watawekwa kundi gani?
Kulipa kodi ni jambo la uzalendo.Mfano? Mafundi wapo miaka dahari wanapiga hela tu. Matatizo gani ulisikia wamepata na wakashindwa kuyatatua ati sababu hawana leseni?? Kuweni straight kuwa tunahitaji kodi kutoka kwao. Kwani ni kosa kuwadai walipe kodi? Nchi hii si ni yetu sote! Mbona mnazunguka mbuyu?
Elf 80 kwa mwakaKiwango cha gharama hiyo ya leseni kutoka TCRA ni kiasi gani?
Mbona watatuua