Katika kitu kibaya kupita vyote serikali inaweza kufanya ni kuwa serikali ongo. JK alituambia hakuwajua Richmond wala Dowans. Lowassa alitupa ukweli, ambao JK hadi leo hajakanusha, hivyo JK ni Rais mwongo. Katibu wa bunge anawakemea waliosema posho zimepanda na kwamba wanataka kuichonganisha serikali na wananchi, siku moja baadae spika anasema posho imepanda kweli eti gharama zimepanda kwa wabunge tu. Serikali gani hii ina watu hawana mawazo? Kina sababu gani ya kudanganya? ndugu zangu tuungane lets vote for change come 2015