Serikali kuwalipa wanachama wa DECI mabilioni yao

Serikali kuwalipa wanachama wa DECI mabilioni yao

Hata kama watawarudishia watu fedha zao kweli.....Cha kujiuliza ni wangapi wana receipt?
Hao hao wenye risiti watafaidi lakini walipaji wakifaidi zaidi na zaidi maana watu tulishachoma moto risiti zetu.
 
Hii ni EPA on process,wizi mtupu!!

Wastaafu waliokuwa wafanyakazi wa jumuiya ya Africa Mashariki je pesa zao??!!
 
Watakaolipwa ni wale ambao walipanda mbegu na hawakuwahi kuvuna hata mara moja, waliowahi kuvuna imekula kwao (hawatalipwa).
 
da niliweka ka pesa kangu huko kakaenda na maji zile risiti sijui ziko wapi

Uko kama mimi nilivyosikia hiyo makitu asubuhi kwenye magazeti jamaa acha nipekue mpaka kwenye vyombo wapi wallah siamini nangoja nikatafute tena.
 
najuta kuwapa kodi yangu hawa jamaa. hao watu wadesi walienda kwa mapenzi yao. sasa kodi zetu zinahusikaje kuwalipa? hivi mtu akienda baa akanywa bia za kutosha kwa mapenzi yake serikali inahusika kumfidia? inauma sana hii ishu.

Umofia Kwenu wana JF,

Serikali ipo kwenye mchakato wa kuwalipa wanachama wa DECI takribani bilioni 19 za wanachama wake.

»Haya, mliopanda mbegu kaeni mkao wa kula kurudishiwa mishiko yenu.
 
EPA na ESCROW zilikua BoT.......................................:confused2:
 
Miyayusho jazz uchaguzi ukikaribia wanajifanya kuwateka wananchi....
 
moderator mngeunga uzi huu na zile za madai ya deci zilizopo humu.
 
Naibu wa Waziri wa fedha Mh.Malima bila ya kumuogopa Mungu alidiriki kusema Wastaafu wa Jumuia ya Africa Mashiriki wameshalipwa....jamani muogopeni Mungu.hawa wazee kesi yao bado iko mahakamani na sasa ni takriban miaka 40....shame on our judiciary system..inasemekana eti ni kisasi wanafanyiwa kwa sababu haya mambo yamefika ulimwenguni.....sijui kama ni kweli
 
Ma-CCM yana mbinu zaidi ya 100,000 za kushinda uchaguzi....

Ghafla 2015 wamewakumbuka DECI
 
Kesi ya jinai kuhusu hizo hela ziende wapi baada ya mabosi wa deci kufugwa jela bado haijaamuliwa. Hakika jibu la waziri ni la kisisa kupita kiasi au kapotoshwa na wasaidizi wake. Wanasheria njooni mchanganue Proceed of Crime Act. Ule mchezo wa deci mtoaji na mpokeaji wote ni wahalifu. Hivyo washukuru hata wameachwa huru.
 
Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba hizo hela zimetumika mwaka 2015. Hadi hapo zitakaporudishwa benki kuu.
 
Back
Top Bottom