Serikali kutolipa mishahara ya wafanya kazi wake

Serikali kutolipa mishahara ya wafanya kazi wake

engineerm

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
106
Reaction score
19
Wana jf sielewi serikali ina mpango gani wa kulipa mishahara ya mwezi wa saba kwa wale ambao hawajalipwa.

Kwa utaratibu uliozoeleka mishahara huwa inapelekwa kwenye taasisi husika then taasisi husika ndio inaisambaza kwa kila mmoja. kutokana na mishahara kulipwa moja kwa moja toka hazina kuna ambao hatukulipwa kutokana na akaunti zetu kuwepo kwenye taasisi husika tu bado zilikuwa hazijapelekwa hazina ni mwaka mmoja sasa.

kwa anayejua anisaidie nifanyeje nipate mshahara wangu wa july jamani?
 
we utakuwa ukawa wewe,so iddi ya mwaka huu ndio maana ilidoda
 
Back
Top Bottom