Serikali Kusaini Sheria ya Kima cha Chini cha Mishahara Sekta Binafsi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini.

Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo mwishoni mwa wiki, jijini Arusha.

Screenshot 2025-08-17 203309.png
 
Mshahara wa milioni moja imeshakuwa upuuzi , hautoshi kwa mtu kuishi comfortably .Imagine .
Nchi ya wapumbavu hii inakera sana .
Kodi kwenye bidhaa na huduma ulifaa zishushwe sana ili Bei zishuke sana na kuongeza consumption na mzunguko wa pesa na si kuwa na stagflation kama tuliyonayo sasa , unakuwa na mfumuko wa bei na at the same time mzunguko wa pesa ni mdogo sana .
Haya mapuuzi yaliyopelekana huko BOT na wizara ya fedha kwa rushwa na nepotism sijui huwa yanafanya nini . Kuna haja ya kufukuza hizi kenge zote zinazojiita wachumi na kuajiri Engineers kuendesha mambo
 
Wabongo mkiona hamnufaiki mnapenda visingizo uchwara kwa chuki na wivuuuuu
 
Ndio maana wanapandisha ili iendane na hiyo inflation.
Nchi kama Tanzania ambayo 3/4 ya bidhaa inaagiza nje na haina viwanda watazuia vipi inflation?
Work done ni zero unapewa ongezeko la mshahara laki mbili na baba mwenye nyumba kesho anakuja kupandisha kodi kwa elfu hamsini ,mtaani hapo bidhaa na huduma zinapanda ,nauli ,mafuta ,chakula ,nguo ,madawa /afya nk bei inapanda pia , hiyo laki mbili uliyopata inamezwa na mfumuko wa bei so ni kazi bure ,solution ni kupunguza kodi ili bidhaa na huduma ziwe bei chini na mtu Amudu ili kusustain life .
Pesa kama ina purchasing power ndogo kuongeza mshahara sio solution , solution ni kuraise purchasing power ya pesa na moja ya njia bora kabisa ni kushusha kodi ,kodi za Tanzania ni za kishenzi na kipuuzi mno na ni oppressive kwa investors na hata wafanyakazi na raia wa kawaida ambao ni consumers katika uchumi
 
Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini.

Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo mwishoni mwa wiki, jijini Arusha.

View attachment 3444568
Hicho kima cha chini kinachotegemewa kusainiwa kwa sekta binafsi, kama ni chini ya 1.5M, basi kuna makampuni yatajiona yanalipa hela nyingi sana bila kuangalia wafanyakazi wake wanazalisha kiasi gani kwa mwezi..!!! Maana sekta binafsi ya akina biskuti, huwezi linganisha na ya akina gesi. Lazima kwenye kusaini kima cha chini, waseme ni watu wa uzalishaji upi wanaozungumziwa kwa kiasi tajwa..!!
 
Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini.

Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo mwishoni mwa wiki, jijini Arusha.

View attachment 3444568
Tujiandae na Retrenchment as usually...kila Serikali ikipandisha mishahara sekta binafsi makampuni makubwa yakimataifa yanayopaswa kulipa mishahara mikubwa yanapunguza wafanyakazi wanaoenda kuajiriwa na kampuni ndogo za local kwa hela za maandazi.
 
Mshahara wa milioni moja imeshakuwa upuuzi , hautoshi kwa mtu kuishi comfortably .Imagine .
Nchi ya wapumbavu hii inakera sana .
Kodi kwenye bidhaa na huduma ulifaa zishushwe sana ili Bei zishuke sana na kuongeza consumption na mzunguko wa pesa na si kuwa na stagflation kama tuliyonayo sasa , unakuwa na mfumuko wa bei na at the same time mzunguko wa pesa ni mdogo sana .
Haya mapuuzi yaliyopelekana huko BOT na wizara ya fedha kwa rushwa na nepotism sijui huwa yanafanya nini . Kuna haja ya kufukuza hizi kenge zote zinazojiita wachumi na kuajiri Engineers kuendesha mambo
Word
 
Mshahara hulipwa kwa kuangalia unazalisha nini..!!! Nikuulize, house girl wako unamlipa milioni moja?
 
Kwenye hili ccm wana kwenda kupiga BAO la kisigino.
Mtu analipwa Kwa siku 6,500
 
Back
Top Bottom